Wasafi wamemsajili Lilian Mwasha kutoka Clouds FM

Mleta Mada Kwa Hili
Niseme Ukweli Umekula Maharage Ya Wapi?😏
 
Lilian Mwasha hajaajiriwa Wasafi, atakuwa anarusha kipindi chao kinaitwa Women matters ni kipindi kinachotayarishwa na Lillian pamoja na Sky walker..Wanauza content hawaajajiriwa.
Ni kama kipindi cha Katambuga kitarushwa Wasafi lakini waandaaji ni raia wengine kina sky, Chibu ukienda na content nzuri anakupa shavu.
 
Ni kama unaingopa coz j, mosi nmemsikiliza kwenye kipindi cha terminal alafu hajawai kutangaza kipindi cha power breakfast
 
Kuna watu kwasababu kipindi ni chake anataka kila. Anaesikiliza ajue kipindi ni chake.... So anataka kila dakika aongee yeye.

Me nampenda salama jabir huwa vipindi vyake anamuacha mgeni afunguke yeye anatia neno kidogo kisha anachuna.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
naona 5 to 7 years to come wasafi ikachukua nafasi ya clowds na eftv kuchukua nafasi ya eatv, Kasi ya kuona fursa wanayo kuliko wale wanaoona kwamba tayari wana fursa (mark my words)
 
Kwanza nae simuonagi eatv siku hizi sijui yupo wapi.
walijaribugi kutengeneza kacompetition flani na milard Ayo wakati wote ndio wanaanza Anza tu, ila maana ya competition Ni kwamba anashinda mmoja, kwaiyo, milard akafungua channel akatoka, Sam akaiga na hakutoka, hayupo hata mainstream media, nadhani yupo mlandizi analima matikiti (no offense 😂)
 
Mara pap milard Ayo
Mara pap king smash,
Mara pap dj mammy
Mara pap watu wanafunga kituo upepo umehamia magharibi
Sio mbaya hio mkuu,wanakua wamebadili jina la kituo tu cha kufanyia kazi lkn mmiliki ni yule yule(Kusaga).
 
Kinachomwangusha Sam yeye anaangalia ukubwa wa content , yaan hajali watazamaji wake , content fake nyingi Sana , sasa hii inafanya watazamaji wawe wanaipiga chini channel .... Katukio kadogo anakarefusha na issue ambazo hazieleweki , na pia kabase Sana kwenye intertainment kule ambako kuna makundi , yaan kuna watazamaji ukiweka taarifa fulan ya msanii Fulani automatically hawaangalii.... Millard ni mbunifu yaan anaangalia wabongo wanataka nini , ?? Vitu tofaut tofaut wasanii, wanasiasa, maswala ya jamiii, matukio , mpira n.k na hababaishi , anafocus kwenye point .....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…