Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Mleta mada umenikumbusha enzi za kifesi hapa jf tulikua hatulali alikua anajiita heaven on .....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lisemwalo lipo..................malizia msemoMara paaaaap sammisago nae kaibukia usafiniii
Lilian Mwasha hajaajiriwa Wasafi, atakuwa anarusha kipindi chao kinaitwa Women matters ni kipindi kinachotayarishwa na Lillian pamoja na Sky walker..Wanauza content hawaajajiriwa.Wasafi wamezidi kuendelea kufanya usajili baada ya kuwasajili kitenge,edo kumwembe na Ahmed abdallah hawajaishia hapo baada hiv punde kumsajili mwana mama machachari na mwenye sauti ya kuvutia Lilian mwasha kutoka clouds fm ambapo alikuwa ni miongoni mwa matangazaji wa kipindi Cha break fast.
Daaah Allah Nisamehe ila Huyo Manzi Lily Mwasha Ana Sura Mbaya Jamani .... KhaaahAlikua anatangaza terminal Na haris kapga
Kila jamamos aiseee nlikua skos
Kumskiliza
Wakimsajili niTagMara paaaaap sammisago nae kaibukia usafiniii
Ni kama unaingopa coz j, mosi nmemsikiliza kwenye kipindi cha terminal alafu hajawai kutangaza kipindi cha power breakfastWasafi wamezidi kuendelea kufanya usajili baada ya kuwasajili kitenge,edo kumwembe na Ahmed abdallah hawajaishia hapo baada hiv punde kumsajili mwana mama machachari na mwenye sauti ya kuvutia Lilian mwasha kutoka clouds fm ambapo alikuwa ni miongoni mwa matangazaji wa kipindi Cha break fast.
kweli tunatofautiana mbona mimi naona ni mwanamke mzuri kabisaDaaah Allah Nisamehe ila Huyo Manzi Lily Mwasha Ana Sura Mbaya Jamani .... Khaaah
Kuna watu kwasababu kipindi ni chake anataka kila. Anaesikiliza ajue kipindi ni chake.... So anataka kila dakika aongee yeye.Mimi nilisikiliza sana terminal walizokua wanamualika Dr. Elie.V.D, tofauti na hapo niliona watu wengi walioalikwa hapo hawakua na ujazo kwenye kipindi.
Halafu yeye Lillian na mwenzie Haris walizidisha mno kuongea. Walikua wanaongea sana mpaka wanaharibu ladha.
Aaaaah bro[emoji23][emoji23][emoji23] sio poa bwana.... Ni binadamu na yeye hajapenda kuwa na muonekano wa akina Beyonce..... Usiwe hivyo bana...Yule demu ana sauti nzuri, ila ana sura mbaya sijawahi kuona.
naona 5 to 7 years to come wasafi ikachukua nafasi ya clowds na eftv kuchukua nafasi ya eatv, Kasi ya kuona fursa wanayo kuliko wale wanaoona kwamba tayari wana fursa (mark my words)Wasafi wamezidi kuendelea kufanya usajili baada ya kuwasajili Kitenge, Edo Kumwembe na Ahmed Abdallah hawajaishia hapo baada hivi punde kumsajili mwanamama machachari na mwenye sauti ya kuvutia Lilian Mwasha kutoka Clouds FM ambapo alikuwa ni miongoni mwa matangazaji wa kipindi cha breakfast.
Mara pap milard AyoMara paaaaap sammisago nae kaibukia usafiniii
walijaribugi kutengeneza kacompetition flani na milard Ayo wakati wote ndio wanaanza Anza tu, ila maana ya competition Ni kwamba anashinda mmoja, kwaiyo, milard akafungua channel akatoka, Sam akaiga na hakutoka, hayupo hata mainstream media, nadhani yupo mlandizi analima matikiti (no offense 😂)Kwanza nae simuonagi eatv siku hizi sijui yupo wapi.
Sio mbaya hio mkuu,wanakua wamebadili jina la kituo tu cha kufanyia kazi lkn mmiliki ni yule yule(Kusaga).Mara pap milard Ayo
Mara pap king smash,
Mara pap dj mammy
Mara pap watu wanafunga kituo upepo umehamia magharibi
Kinachomwangusha Sam yeye anaangalia ukubwa wa content , yaan hajali watazamaji wake , content fake nyingi Sana , sasa hii inafanya watazamaji wawe wanaipiga chini channel .... Katukio kadogo anakarefusha na issue ambazo hazieleweki , na pia kabase Sana kwenye intertainment kule ambako kuna makundi , yaan kuna watazamaji ukiweka taarifa fulan ya msanii Fulani automatically hawaangalii.... Millard ni mbunifu yaan anaangalia wabongo wanataka nini , ?? Vitu tofaut tofaut wasanii, wanasiasa, maswala ya jamiii, matukio , mpira n.k na hababaishi , anafocus kwenye point .....walijaribugi kutengeneza kacompetition flani na milard Ayo wakati wote ndio wanaanza Anza tu, ila maana ya competition Ni kwamba anashinda mmoja, kwaiyo, milard akafungua channel akatoka, Sam akaiga na hakutoka, hayupo hata mainstream media, nadhani yupo mlandizi analima matikiti (no offense 😂)