Wasafi wamemsajili Lilian Mwasha kutoka Clouds FM

Wasafi wamemsajili Lilian Mwasha kutoka Clouds FM

Mleta Mada Kwa Hili
Niseme Ukweli Umekula Maharage Ya Wapi?😏
 
Wasafi wamezidi kuendelea kufanya usajili baada ya kuwasajili kitenge,edo kumwembe na Ahmed abdallah hawajaishia hapo baada hiv punde kumsajili mwana mama machachari na mwenye sauti ya kuvutia Lilian mwasha kutoka clouds fm ambapo alikuwa ni miongoni mwa matangazaji wa kipindi Cha break fast.
Lilian Mwasha hajaajiriwa Wasafi, atakuwa anarusha kipindi chao kinaitwa Women matters ni kipindi kinachotayarishwa na Lillian pamoja na Sky walker..Wanauza content hawaajajiriwa.
Ni kama kipindi cha Katambuga kitarushwa Wasafi lakini waandaaji ni raia wengine kina sky, Chibu ukienda na content nzuri anakupa shavu.
 
Wasafi wamezidi kuendelea kufanya usajili baada ya kuwasajili kitenge,edo kumwembe na Ahmed abdallah hawajaishia hapo baada hiv punde kumsajili mwana mama machachari na mwenye sauti ya kuvutia Lilian mwasha kutoka clouds fm ambapo alikuwa ni miongoni mwa matangazaji wa kipindi Cha break fast.
Ni kama unaingopa coz j, mosi nmemsikiliza kwenye kipindi cha terminal alafu hajawai kutangaza kipindi cha power breakfast
 
Mimi nilisikiliza sana terminal walizokua wanamualika Dr. Elie.V.D, tofauti na hapo niliona watu wengi walioalikwa hapo hawakua na ujazo kwenye kipindi.

Halafu yeye Lillian na mwenzie Haris walizidisha mno kuongea. Walikua wanaongea sana mpaka wanaharibu ladha.
Kuna watu kwasababu kipindi ni chake anataka kila. Anaesikiliza ajue kipindi ni chake.... So anataka kila dakika aongee yeye.

Me nampenda salama jabir huwa vipindi vyake anamuacha mgeni afunguke yeye anatia neno kidogo kisha anachuna.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wasafi wamezidi kuendelea kufanya usajili baada ya kuwasajili Kitenge, Edo Kumwembe na Ahmed Abdallah hawajaishia hapo baada hivi punde kumsajili mwanamama machachari na mwenye sauti ya kuvutia Lilian Mwasha kutoka Clouds FM ambapo alikuwa ni miongoni mwa matangazaji wa kipindi cha breakfast.
naona 5 to 7 years to come wasafi ikachukua nafasi ya clowds na eftv kuchukua nafasi ya eatv, Kasi ya kuona fursa wanayo kuliko wale wanaoona kwamba tayari wana fursa (mark my words)
 
Kwanza nae simuonagi eatv siku hizi sijui yupo wapi.
walijaribugi kutengeneza kacompetition flani na milard Ayo wakati wote ndio wanaanza Anza tu, ila maana ya competition Ni kwamba anashinda mmoja, kwaiyo, milard akafungua channel akatoka, Sam akaiga na hakutoka, hayupo hata mainstream media, nadhani yupo mlandizi analima matikiti (no offense 😂)
 
Mara pap milard Ayo
Mara pap king smash,
Mara pap dj mammy
Mara pap watu wanafunga kituo upepo umehamia magharibi
Sio mbaya hio mkuu,wanakua wamebadili jina la kituo tu cha kufanyia kazi lkn mmiliki ni yule yule(Kusaga).
 
walijaribugi kutengeneza kacompetition flani na milard Ayo wakati wote ndio wanaanza Anza tu, ila maana ya competition Ni kwamba anashinda mmoja, kwaiyo, milard akafungua channel akatoka, Sam akaiga na hakutoka, hayupo hata mainstream media, nadhani yupo mlandizi analima matikiti (no offense 😂)
Kinachomwangusha Sam yeye anaangalia ukubwa wa content , yaan hajali watazamaji wake , content fake nyingi Sana , sasa hii inafanya watazamaji wawe wanaipiga chini channel .... Katukio kadogo anakarefusha na issue ambazo hazieleweki , na pia kabase Sana kwenye intertainment kule ambako kuna makundi , yaan kuna watazamaji ukiweka taarifa fulan ya msanii Fulani automatically hawaangalii.... Millard ni mbunifu yaan anaangalia wabongo wanataka nini , ?? Vitu tofaut tofaut wasanii, wanasiasa, maswala ya jamiii, matukio , mpira n.k na hababaishi , anafocus kwenye point .....
 
Back
Top Bottom