Wasafi wanapoteza hela kuwekeza kwa Queen darlin

kababae

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2017
Posts
280
Reaction score
246
Habari zenu wadau

Mie kwa upande wangu nafikiri huyu dada ake diamond hana kipaji cha kuimba labda anacho cha kucheza uchi instagram.. kiufupi wasafi waache kufanya kazi kiundungu huyu dada hajui kuimba anatoa boko tu. Yani wanapoteza hela mingi kuwekeza kwenye mziki wa huyu dada.. ni bora wangewekeza 100 kwa ruby, vanesa au mwasiti
 
Subir waje wajuzi wa hizi mambo manake WCB bhana watu wake km wamelishwa limbwata hata km kitu ni cha uongo watalazimisha kiwe kweli. Sio mda watakuja kwanza naona wako magharibi
 
Habari zenu wadau

Mie kwa upande wangu nafikiri huyu dada ake diamond hana kipaji cha kuimba labda anacho cha kucheza uchi instagram.. kiufupi wasafi waache kufanya kazi kiundungu huyu dada hajui kuimba anatoa boko tu. Yani wanapoteza hela mingi kuwekeza kwenye mziki wa huyu dada.. ni bora wangewekeza 100 kwa ruby, vanesa au mwasiti
Zama za mziki wake zimekwishapita...
Sema angebaki kuwa mfanyakazi pale WCB siyo msanii wa Wcb.
Ruby walikuwa wanamtaka ila sasa kakorofishana na ruge na wanadai ana tabia ya kibri na mond anadai kabla ya kumsaini msanii lazima wamchunguze wasije para shida mbeleni.
Kumanage wasanii kazi sana wengi wanashindwa.
 
Uvaaji wake kwakweli unaharibu, dah hivi kabla mtu hujavaa kwanini usijiangalie ulivyo umbo na mwonekano.
Nampenda ila huo wimbo alivovaa hapana asee katokezea kama kiboko
Watu mna maneno jaman et katokezea kama kiboko yani nimejikuta nacheka
 
Zama za mziki wake zimekwishapita...
Sema angebaki kuwa mfanyakazi pale WCB siyo msanii wa Wcb.
Ruby walikuwa wanamtaka ila sasa kakorofishana na ruge na wanadai ana tabia ya kibri na mond anadai kabla ya kumsaini msanii lazima wamchunguze wasije para shida mbeleni.
Kumanage wasanii kazi sana wengi wanashindwa.
TRue ruby alikua ana deserve sana kua wasafi ila ndo hvyo wazee wa kushikilia industry mawingu a.k.a redio ya wafu a.k.a miungu watu ndo bac tena ila queen darleen ana impact ndogo sana hata lava lava asiimbe wasafi bado yuko na level yakawaida sana ila abaki kwa sababu anajua kutunga sana nyimbo but kuimba "NO"
 
Kwa ruby nakubali sana wangewekeza kwake,akapata colobo mbili tatu na wasanii wakubwa then video zikapata kiwango kiukwel ingewalipa zaid kulko hyo mvaaa..
.....
 
TRue ruby alikua ana deserve sana kua wasafi ila ndo hvyo wazee wa kushikilia industry mawingu a.k.a redio ya wafu a.k.a miungu watu ndo bac tena ila queen darleen ana impact ndogo sana hata lava lava asiimbe wasafi bado yuko na level yakawaida sana ila abaki kwa sababu anajua kutunga sana nyimbo but kuimba "NO"
Mimi siku hizi naona wasafi wote wanaimba nyimbo za kawaida eti..
Hata rayvany nilikuwa natarajii makubwa toka kwake labda nimezoea ila naona kama ile hamsha hamsha inapotea
 
Kiboko huyu huyu wa mwituni??
images (2).jpeg
 
Uvaaji wake kwakweli unaharibu, dah hivi kabla mtu hujavaa kwanini usijiangalie ulivyo umbo na mwonekano.
Nampenda ila huo wimbo alivovaa hapana asee katokezea kama kiboko
Mwenye kapicha tafadhali kwanza tumfahamu kwa sura
 
Mimi siku hizi naona wasafi wote wanaimba nyimbo za kawaida eti..
Hata rayvany nilikuwa natarajii makubwa toka kwake labda nimezoea ila naona kama ile hamsha hamsha inapotea
Rayvanny hata jason derulo alimwambia ukitaka ufanikiwe uimbe lugha ya kiingereza ili wengine wakuelewe vzuri ila ukikomaa na akchuare zako mziki wako utakua ngumu kupenyeza world wide tusibir 1 dec hiyi ngoma ya mond na rick ross itakwaje
 
Ngoja tuone aisee ila unajua ngoma za mond ambazo uwa amelenga soko pa nje mostly uwa hazifanyi vizuri kama ambazo anakuwa kalenga soko la ndani na ndizo uwa zinafanya poa hadi anabeba tuzo nje
 
Back
Top Bottom