Wasafi wanapoteza hela kuwekeza kwa Queen darlin

Wasafi wanapoteza hela kuwekeza kwa Queen darlin

Yah thats true kwa wenzetu ukiwa unatoka huku africa na pia ASIA kueleweke ni shughuri sana kule gemu yao iko na ushindani sana aisee.... hata wizkid ngoma yake kupenyeza billboard alibid afanye kitu cha tofauti kidgo
 
Mwenye kapicha tafadhali kwanza tumfahamu kwa sura
images (3).jpeg
 
yaani bora Queen darlin kuliko Rayvany. Natamani sana kusikia Rayvany ni mwandishi tu, maana kuimba hana melody yaan ukitoa kwetu jamaa hana melody tena hii inapelekea laizer kupiga beat za katitu na kijaluo kwenye nyimbo za rayvany. Laizer ni mzuri ila Rayvany ndio anamharibia mbona mond na harmonize wanapigiwa beat kali.
 
tunasubiri pesa yetu m300 Watulipe sisi msondo ngoma.... Mengine watajuana wao
 
Mond kaona bora amsaidie tu dadaake asije akaadhirika mjini Darlen wakati wake ushapita
 
Hahahaa eti kama kiboko dahhh nyimbo yake nimeangalia mara moja tu imenikiff
 
Uvaaji wake kwakweli unaharibu, dah hivi kabla mtu hujavaa kwanini usijiangalie ulivyo umbo na mwonekano.
Nampenda ila huo wimbo alivovaa hapana asee katokezea kama kiboko
Hebu rusha hako kawimbo na ss wahenga tuchangie hoja [emoji13] [emoji12]
 
Yote ni sanaa maana kuna watu wanafurai wakiona amekaa ndivyo sivyo na wanavutika na sabab hiyo
 
Tatizo undugu lawama. Dai alipokua hana kitu wala umaarufu alibebwa na queen darlen so saiv anashindwa mtosa. Hapo alipo ana lawama ya kutelekeza baba bado aongezewe ya kumtelekeza au kumshusha cheo dada
 
Tatizo undugu lawama. Dai alipokua hana kitu wala umaarufu alibebwa na queen darlen so saiv anashindwa mtosa. Hapo alipo ana lawama ya kutelekeza baba bado aongezewe ya kumtelekeza au kumshusha cheo dada
Mbona queen Darleen yupo fresh tu, mi binafsi namkubali ila siku za karibuni kaanza mavazi flani hayampendezi kwakweli
 
Back
Top Bottom