Zama za mziki wake zimekwishapita...Habari zenu wadau
Mie kwa upande wangu nafikiri huyu dada ake diamond hana kipaji cha kuimba labda anacho cha kucheza uchi instagram.. kiufupi wasafi waache kufanya kazi kiundungu huyu dada hajui kuimba anatoa boko tu. Yani wanapoteza hela mingi kuwekeza kwenye mziki wa huyu dada.. ni bora wangewekeza 100 kwa ruby, vanesa au mwasiti
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Tululu tutuuu tuuu...tululu tulu tuuuu...wasafiiiiii...
Kiboko huyu huyu wa mwituni??Uvaaji wake kwakweli unaharibu, dah hivi kabla mtu hujavaa kwanini usijiangalie ulivyo umbo na mwonekano.
Nampenda ila huo wimbo alivovaa hapana asee katokezea kama kiboko
Watu mna maneno jaman et katokezea kama kiboko yani nimejikuta nachekaUvaaji wake kwakweli unaharibu, dah hivi kabla mtu hujavaa kwanini usijiangalie ulivyo umbo na mwonekano.
Nampenda ila huo wimbo alivovaa hapana asee katokezea kama kiboko
TRue ruby alikua ana deserve sana kua wasafi ila ndo hvyo wazee wa kushikilia industry mawingu a.k.a redio ya wafu a.k.a miungu watu ndo bac tena ila queen darleen ana impact ndogo sana hata lava lava asiimbe wasafi bado yuko na level yakawaida sana ila abaki kwa sababu anajua kutunga sana nyimbo but kuimba "NO"Zama za mziki wake zimekwishapita...
Sema angebaki kuwa mfanyakazi pale WCB siyo msanii wa Wcb.
Ruby walikuwa wanamtaka ila sasa kakorofishana na ruge na wanadai ana tabia ya kibri na mond anadai kabla ya kumsaini msanii lazima wamchunguze wasije para shida mbeleni.
Kumanage wasanii kazi sana wengi wanashindwa.
Mimi siku hizi naona wasafi wote wanaimba nyimbo za kawaida eti..TRue ruby alikua ana deserve sana kua wasafi ila ndo hvyo wazee wa kushikilia industry mawingu a.k.a redio ya wafu a.k.a miungu watu ndo bac tena ila queen darleen ana impact ndogo sana hata lava lava asiimbe wasafi bado yuko na level yakawaida sana ila abaki kwa sababu anajua kutunga sana nyimbo but kuimba "NO"
Kiboko huyu huyu wa mwituni??
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hatari hatari
Mwenye kapicha tafadhali kwanza tumfahamu kwa suraUvaaji wake kwakweli unaharibu, dah hivi kabla mtu hujavaa kwanini usijiangalie ulivyo umbo na mwonekano.
Nampenda ila huo wimbo alivovaa hapana asee katokezea kama kiboko
Rayvanny hata jason derulo alimwambia ukitaka ufanikiwe uimbe lugha ya kiingereza ili wengine wakuelewe vzuri ila ukikomaa na akchuare zako mziki wako utakua ngumu kupenyeza world wide tusibir 1 dec hiyi ngoma ya mond na rick ross itakwajeMimi siku hizi naona wasafi wote wanaimba nyimbo za kawaida eti..
Hata rayvany nilikuwa natarajii makubwa toka kwake labda nimezoea ila naona kama ile hamsha hamsha inapotea
Ngoja tuone aisee ila unajua ngoma za mond ambazo uwa amelenga soko pa nje mostly uwa hazifanyi vizuri kama ambazo anakuwa kalenga soko la ndani na ndizo uwa zinafanya poa hadi anabeba tuzo njeRayvanny hata jason derulo alimwambia ukitaka ufanikiwe uimbe lugha ya kiingereza ili wengine wakuelewe vzuri ila ukikomaa na akchuare zako mziki wako utakua ngumu kupenyeza world wide tusibir 1 dec hiyi ngoma ya mond na rick ross itakwaje