MAJIYAPWANI
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 1,726
- 2,691
Mwenye kapicha tafadhali kwanza tumfahamu kwa sura
Huyu ni wa kiume au wa kike???
Hebu rusha hako kawimbo na ss wahenga tuchangie hoja [emoji13] [emoji12]Uvaaji wake kwakweli unaharibu, dah hivi kabla mtu hujavaa kwanini usijiangalie ulivyo umbo na mwonekano.
Nampenda ila huo wimbo alivovaa hapana asee katokezea kama kiboko
mi sijui kuweka wimbo, labda dj wa ukwee anisaidie BAK tuwekee ntakufilisi ya queen DarleenHebu rusha hako kawimbo na ss wahenga tuchangie hoja [emoji13] [emoji12]
LmhJamani huyu ni dada yetu hivyo hatuwezi kumtengaaa
Dj msaada tutanmi sijui kuweka wimbo, labda dj wa ukwee anisaidie BAK tuwekee ntakufilisi ya queen Darleen
KishawekaDj msaada tutan
Mbona queen Darleen yupo fresh tu, mi binafsi namkubali ila siku za karibuni kaanza mavazi flani hayampendezi kwakweliTatizo undugu lawama. Dai alipokua hana kitu wala umaarufu alibebwa na queen darlen so saiv anashindwa mtosa. Hapo alipo ana lawama ya kutelekeza baba bado aongezewe ya kumtelekeza au kumshusha cheo dada
Asant baby wangKishaweka
Lol samahn EvelynAsant baby wang