Wasafi wanapoteza hela kuwekeza kwa Queen darlin

HELA UNATOA WEWE
 
Nyimbo zake hazivutii sana,zinawahi kuchuja,,mavazi anayovaa nayo yanamshusha
Mbona queen Darleen yupo fresh tu, mi binafsi namkubali ila siku za karibuni kaanza mavazi flani hayampendezi kwakweli
 
hata ningekuwa mimi diamond.. kama dada yangu anaupenda mziki na ameshawai kuwa mwanamziki.. na mimi kaka yake nina lebo ya muziki ningembeba hadi achoke mwenyewe..

dada yangu ni ndugu yangu wa ukweli.. wengine tumekutana juu juu..

wazungu wanasema charity begins at home..

wakati nahangaika na dada yangu wao walikuwa wapi.. leo waseme dada yangu hajui kuimba..

unajua queen darlin amepitia mangapi na diamond??
 
Mkuu sio Darleen peke yake pale Wasafi msanii wa maana ni Dimond peke yake wale wengine wanaishi kwa nguvu ya Dimond
 
Kwa kweli atafute shughuli nyingine maan hakuna namna
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] simuelewagi Kabisa queen darlin Ivi anaimbaga nini
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Uvaaji wake kwakweli unaharibu, dah hivi kabla mtu hujavaa kwanini usijiangalie ulivyo umbo na mwonekano.
Nampenda ila huo wimbo alivovaa hapana asee katokezea kama kiboko
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kama kiboko
Hahahaaaa
 
Mimi siku hizi naona wasafi wote wanaimba nyimbo za kawaida eti..
Hata rayvany nilikuwa natarajii makubwa toka kwake labda nimezoea ila naona kama ile hamsha hamsha inapotea
Nan kafanya makubwa zaidi ya diamond? Rayvanny amebeba bet, amepga collabo na Jason derulo... Na akashauriwa atumie kiingereza atusue kimataifa
 
Chuki binafsi... Unaibiwa, Salome hana melody?
 
Nan kafanya makubwa zaidi ya diamond? Rayvanny amebeba bet, amepga collabo na Jason derulo... Na akashauriwa atumie kiingereza atusue kimataifa
Kupiga collabo na jason siyo mafanikio kihivyo collabo nyingine unapiga lakini Marrkani hutusui.
Kwa upande wangu nilitegemea nyimbo nzuri zaidi toka kwa rayvany ila design naona melody na beat zake zinataka kufanana.
May be sikio langu bovu
 
Kupiga collabo na jason siyo mafanikio kihivyo collabo nyingine unapiga lakini Marrkani hutusui.
Kwa upande wangu nilitegemea nyimbo nzuri zaidi toka kwa rayvany ila design naona melody na beat zake zinataka kufanana.
May be sikio langu bovu
Jamaa anashuka.. tunzo ya bet kwa upande wangu hakustahili.. sio.msanii mkali kama alivyo hermonize
 
Mulitaka amwache bila kumsaidia au kama Abdul Kiba kwa kaka yake. Samahan kwa mfano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…