Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Walikuwa wanamvumilia tu. We hadi uchebe anaalikwa baba mlezi haalikwi.Huyu ndugu alikuwa na vyeo vingi pale, ametupiwa virago? Hasikiki tena, Kuna wakati walimuimba eti ni baba yao
Walikuwa wanamvumilia sema wameamua kunyamaza wakifungua midomo bila shaka kuna waliopitia na wao enzi za baba mleziWalikua wanamuita baba mlezi 😂
Hii si kwa wabongo tu... ipo dunia nzima... Hata wewe upo hivyo..!! Sasa wakufuate wa nini? We ukitaka asali si unaenda uliko mzinga wa nyuki..!!!???? Kuna ukweli hatutaki tu kuukubali... KWAMBA MKONO MTUPU HAULAMBWI... NIKIHITAJI KITU FULANI NAKWENDA KINAKOPATIKANA... We mtu muislamu unahitaji kuswali, UTAENDAJE KANISANI HALAFU UTEGEMEE UKUTE WANASWALI..??? Huko utayakuta mapambioWabongo hulka yao ukiwa nacho/nafasi/pesa watu watakupakatia
Ukiondoka/ukifikisika sasa huwaoni
Ova