Wasafiri: Tujuzane yanayojiri tuwapo safarini

Wasafiri: Tujuzane yanayojiri tuwapo safarini

No Escape

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2016
Posts
6,663
Reaction score
7,785
Kila siku watu tunasafiri kutoka mkoa mmoja kwenda mkoa mwingine. Safari zingine ni ndefu, kuna mambo mengi yanatokea unatamani kushare na wana JF wenzako.

Tukutane hapa kuanzia mwanzo mpaka mwisho wa safari. Nipo ndani ya basi natoka Mwanza kuelekea Dar, hapa kuna abiria wanagombania siti konda ameshachemka nahisi kuna mmoja atashushwa muda si mrefu.

Ah! Inaboa sana.
 
Mabasi ya kibongo bado ya hovyo mno

Hivi ni Lazima watuonyeshe movies tena hizi ambazo ni poor quality!Au vinyimbo vya kihuni kihuni

Kwanini wasifunge tablet kila seat km kweli wanajali wateja wao

Unapanda gari unahitaji Utulivu kutafakari mambo yako then unakutana na uchafu gani sijui bongo move sijui bongo fleva

I hate this
 
Mpo mdaula Mara paap wauza sabun, dawa za kichina wanaanza kunadi bidhaa zao wanaboa sana wale jamaa
 
No Escape, Naomba nianze na wewe binafsi umechukuwa hatuwa zipi baada ya kuona tatizo hilo..!!??
Isije ikawa hapa unalalamika tu kwa hicho kitendo unacho kishuhudia na kesho akafanyiwa mama/shangazi/mjomba wako huko kijijini.
Haya mambo tunapaswa kuyakemea kwa nguvu zote.
Haya sema hapo mpo mkoa gani ili tykupe namba ya RTO
 
Sisi wenye vinasaba vya kidukulilo hayo mambo hayatuhusu, eti watu wanagombania siti. Wakati "drimulaina" ya cash kila siku inapaki hapo Mwanza kuwasubiri mtengue maamuzi ya kutumia usafiri wa tabu.
 
Sisi wenye vinasaba vya kidukulilo hayo mambo hayatuhusu, eti watu wanagombania siti. Wakati "drimulaina" ya cash kila siku inapaki hapo Mwanza kuwasubiri mtengue maamuzi ya kutumia usafiri wa tabu.
Naomba nikupongeze kwa kujikwamua mkuu, na hongera nyingi zikufukie kwa kufikia kiwango cha kusafiri na mwewe huku ukiyachenga mawingu huko angani...
Mungu aendelee kukubariki sana
 
Naomba nikupongeze kwa kujikwamua mkuu, na hongera nyingi zikufukie kwa kufikia kiwango cha kusafiri na mwewe huku ukiyachenga mawingu huko angani...
Mungu aendelee kukubariki sana
Amen! mkuu huku ni kujimwambafy tu. Haaa
 
I mean for luxury bus,tablet zinaweza kufungwa
Kwasababu wenyewe wamecategorize three phases, yani lowe,standard and luxury

Kwasababu ukienda for booking story kibao ohh free WiFi, free soft drink, free bite,free cable charge and the list goes on

Ila once you take on blah blah zinaanza
No free WiFi,soft drink unapewa vile juice za watoto, free bite unapewa pipi?

Unamwangalia konda anayegawa unamwambia NO SITUMII rudisha Kwasababu inatia hasira grown man unandevu unaletewa juice ya watoto how comes!

Haya unaangalia kinachoonyeshwa kwenye t.v. zao walizofunga Ndio hayo maigizo sijui bongo move
Conntet za maigizo unaangalia dkk tano unaona hili litaishia hivi plus poor quality

Imagine from Dar to moshi at least masaa nane barabarani unaexperience ujinga kwenye t.v. nothing can motivate your mind difference from disturbing
Unaamua kuhesabu miti dirishani tu Kwasababu uliyekaa naye muda wote anachekeshwa ati na yale maigizo kila baada ya dkk mbili kicheko, Unasema what a https://jamii.app/JFUserGuide is this dude mng'ato,
 
Mwanza- Kampala, chuma limeishiwa wese km kadhaa kabla ya Mutukula
 

Attachments

  • IMG_20191110_145351_9.jpg
    IMG_20191110_145351_9.jpg
    360.6 KB · Views: 1
joanah, ]Mama Dickson, binafsi niliwahi kukutana na kesi ya kwenye bus ingawa ilikuwa haifanani na hii.
Nilicho kifanya ni kuongea na Kondakta na nikajaribu kumpa somo ili aelewe haki za abiria, na kidogo alileta ubishi.

Kikicho fuata nilinyenyuka moja kwa moja kwa RTO kwenye ule mkoa tulipo kuwa, na bus lilipo fika tu mjini lilipigwa tanchi na pia SUMATRA wakaitwa na kilicho fuata ni abiria wote walio zidishiwa nauli walirudishiwa pesa zao na bado bus likapigwa fine ya 300,000 na SUMATRA, kisha RTO.

Pia akakuta makosa mengine ya bus kuto kuwa na mkanda na mwisho wa siku Dereva na Kondakta walibaki kuanza kulaumiana kwamba mmoja wao ndie amesababisha yote haya.
Kimsingi tunapaswa kusimama na kukemea maovu pasipo uoga
 
Back
Top Bottom