FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Bila picha?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli mkuu ila miongoni wapo wageni. Ni bora kukaa eneo la tukio walau unaweza kusaidiwa kirahisi kuliko kurudishwa mjini kusikokuwa na jamaa vinginevyo kama ni mwanaume unaweza kuolewa.Hekima,Umoja na Amani hizi ni ngao zetu....
Hapa ndo pa kuonesha huo umoja wetu,aliye kwenye hiyo hali asaidiwe na mwenyeji yeyote,natumaini kuna ambao Mbeya ndo nyumbani.
Si warud walipotoka tuseme na gari limeharibika si ndioGari haina reverse ?
Gari ligeuze lirudi lilikotoka au hakuna pa kugeuzia?Ndugu zangu, niaandika habari hii kwa uchungu nikiomba, kwa yeyeote atakayeisoma, afikishe habari hizi kwa wahusika ili hatua za haraka za uokozi zichukuliwe.
Kuna habari kwamba barabara inayotoka Chunya kwenda Manyoni imekatika NA WASAFIRI WAMEKWAMA HAPO PORINI MAENEO YA IPOLE KWA SIKU TATU SASA.
WITO WANGU NINAOMBA SANA SERIKALI IOKOE HAWA BINADAMU. PAMOJA NA KUWAPELEKEA ASKARI WENYE SILAHA (JAMBO AMBALO NI JEMA), WAWAPELEKEE HARAKA HUDUMA ZA KIBINADAMU. HAWA WATU WATAKUFA PORINI.
TUNAOMBA CHOMBO CHOCHOTE CHENYE WEPESI, KIPELEKE HARAKA CHAKULA KAMA MIKATE WHITE AND BROWN, BISCUITS ZA SUKARI NA ZISIZO NA SUKARI, JUICE ZA SUKARI NA ZISIZO, MAJI YA KUNYWA, HUDUMA YA KWANZA, DAWA ZA KUZUIA KUUMWA NA MBU, HATA MABLANKETI YA KUJIFUNIKA USIKU UKIZINGATIA PIA NJIA HIYO HUWA NA TSETSE FLIES.
OMBI LINGINE, KWA JINSI HALI YA MIUONDO MBINU ILIVYO KWA SASA, SERIKALI IFANYE JUHUDI ZA HARAKA ZA KUTOA TAARIFA MAPEMA PALE KUNAPOKUWA NA BARABARA HAIPITIKI ILI WATU WASIENDE KUKWAMA MAPORINI NA KUHATARISHA MAISHA. HII PIA ITASAIDIA WATU KUPANGA ROUTE SAHIHI ZA KUFIKA WANAKOTAKA KWENDA.
Habari nilizozipata ni kwamba daraja limekatika kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha na hivyo hakuna uwezekano wa gari kupita ama kutoka Manyoni kwenda Chunya, ama kutoka chunya kwenda Manyoni.
Habari zilizonifikia ni kwamba kuna abiria wamekwama hapo porini tangu juzi. Ni porini ambapo hakuna duka, hakuna huduma za mpesa, hakuna hoteli wala huduma ya chakula, hakuna huduma ya afya hata duka la dawa, hakuna maji salama, hakuna hata kijiji kinachoweza kutoa msaada kwa hawa binadamu.
Nmeambiwa kwamba serikali ya mkoa wa tabora walikwenda ku survey eneo la tukio. Wakati wanajiandaa kujenga daraja, ama kufanya utaratibu wa kuwezesha mahala pale papitike, wamepeleka askari kulinda usalama. Hili ni jema, lakini naomba sana uhai wa hao binadamu uangaliwe.
Mwenye gari anawaza mafuta aliyotumia na atakayotumia kuwarudisha atalipa nani maana kwa sheria za Sumatra abiria hawakufikishwa wanakokwenda nauli wanarejeshewa.Gari ligeuze lirudi lilikotoka au hakuna pa kugeuzia?
Habari yenyewe ni tetesi unadai picha!Bila picha?
Umefikiria kidogo sana, jalibu tena.Ndio najiuliza kwanini lisifanyike hili???
je hawawezi kurudi walipotoka kama wanakoenda hakuendeki. Nyoosha maelezoNdugu zangu, niaandika habari hii kwa uchungu nikiomba, kwa yeyeote atakayeisoma, afikishe habari hizi kwa wahusika ili hatua za haraka za uokozi zichukuliwe.
Kuna habari kwamba barabara inayotoka Chunya kwenda Manyoni imekatika NA WASAFIRI WAMEKWAMA HAPO PORINI MAENEO YA IPOLE KWA SIKU TATU SASA.
WITO WANGU NINAOMBA SANA SERIKALI IOKOE HAWA BINADAMU. PAMOJA NA KUWAPELEKEA ASKARI WENYE SILAHA (JAMBO AMBALO NI JEMA), WAWAPELEKEE HARAKA HUDUMA ZA KIBINADAMU. HAWA WATU WATAKUFA PORINI.
TUNAOMBA CHOMBO CHOCHOTE CHENYE WEPESI, KIPELEKE HARAKA CHAKULA KAMA MIKATE WHITE AND BROWN, BISCUITS ZA SUKARI NA ZISIZO NA SUKARI, JUICE ZA SUKARI NA ZISIZO, MAJI YA KUNYWA, HUDUMA YA KWANZA, DAWA ZA KUZUIA KUUMWA NA MBU, HATA MABLANKETI YA KUJIFUNIKA USIKU UKIZINGATIA PIA NJIA HIYO HUWA NA TSETSE FLIES.
OMBI LINGINE, KWA JINSI HALI YA MIUONDO MBINU ILIVYO KWA SASA, SERIKALI IFANYE JUHUDI ZA HARAKA ZA KUTOA TAARIFA MAPEMA PALE KUNAPOKUWA NA BARABARA HAIPITIKI ILI WATU WASIENDE KUKWAMA MAPORINI NA KUHATARISHA MAISHA. HII PIA ITASAIDIA WATU KUPANGA ROUTE SAHIHI ZA KUFIKA WANAKOTAKA KWENDA.
Habari nilizozipata ni kwamba daraja limekatika kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha na hivyo hakuna uwezekano wa gari kupita ama kutoka Manyoni kwenda Chunya, ama kutoka chunya kwenda Manyoni.
Habari zilizonifikia ni kwamba kuna abiria wamekwama hapo porini tangu juzi. Ni porini ambapo hakuna duka, hakuna huduma za mpesa, hakuna hoteli wala huduma ya chakula, hakuna huduma ya afya hata duka la dawa, hakuna maji salama, hakuna hata kijiji kinachoweza kutoa msaada kwa hawa binadamu.
Nmeambiwa kwamba serikali ya mkoa wa tabora walikwenda ku survey eneo la tukio. Wakati wanajiandaa kujenga daraja, ama kufanya utaratibu wa kuwezesha mahala pale papitike, wamepeleka askari kulinda usalama. Hili ni jema, lakini naomba sana uhai wa hao binadamu uangaliwe.
weka pichaNdugu zangu, niaandika habari hii kwa uchungu nikiomba, kwa yeyeote atakayeisoma, afikishe habari hizi kwa wahusika ili hatua za haraka za uokozi zichukuliwe.

Hii ni yalini maana niliona Habari Kama hii juzi sehemu nilijibu ili tuweze kufikisha taarifa sahihiNdugu zangu, niaandika habari hii kwa uchungu nikiomba, kwa yeyeote atakayeisoma, afikishe habari hizi kwa wahusika ili hatua za haraka za uokozi zichukuliwe.
Kuna habari kwamba barabara inayotoka Chunya kwenda Manyoni imekatika NA WASAFIRI WAMEKWAMA HAPO PORINI MAENEO YA IPOLE KWA SIKU TATU SASA.
WITO WANGU NINAOMBA SANA SERIKALI IOKOE HAWA BINADAMU. PAMOJA NA KUWAPELEKEA ASKARI WENYE SILAHA (JAMBO AMBALO NI JEMA), WAWAPELEKEE HARAKA HUDUMA ZA KIBINADAMU. HAWA WATU WATAKUFA PORINI.
TUNAOMBA CHOMBO CHOCHOTE CHENYE WEPESI, KIPELEKE HARAKA CHAKULA KAMA MIKATE WHITE AND BROWN, BISCUITS ZA SUKARI NA ZISIZO NA SUKARI, JUICE ZA SUKARI NA ZISIZO, MAJI YA KUNYWA, HUDUMA YA KWANZA, DAWA ZA KUZUIA KUUMWA NA MBU, HATA MABLANKETI YA KUJIFUNIKA USIKU UKIZINGATIA PIA NJIA HIYO HUWA NA TSETSE FLIES.
OMBI LINGINE, KWA JINSI HALI YA MIUONDO MBINU ILIVYO KWA SASA, SERIKALI IFANYE JUHUDI ZA HARAKA ZA KUTOA TAARIFA MAPEMA PALE KUNAPOKUWA NA BARABARA HAIPITIKI ILI WATU WASIENDE KUKWAMA MAPORINI NA KUHATARISHA MAISHA. HII PIA ITASAIDIA WATU KUPANGA ROUTE SAHIHI ZA KUFIKA WANAKOTAKA KWENDA.
Habari nilizozipata ni kwamba daraja limekatika kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha na hivyo hakuna uwezekano wa gari kupita ama kutoka Manyoni kwenda Chunya, ama kutoka chunya kwenda Manyoni.
Habari zilizonifikia ni kwamba kuna abiria wamekwama hapo porini tangu juzi. Ni porini ambapo hakuna duka, hakuna huduma za mpesa, hakuna hoteli wala huduma ya chakula, hakuna huduma ya afya hata duka la dawa, hakuna maji salama, hakuna hata kijiji kinachoweza kutoa msaada kwa hawa binadamu.
Nmeambiwa kwamba serikali ya mkoa wa tabora walikwenda ku survey eneo la tukio. Wakati wanajiandaa kujenga daraja, ama kufanya utaratibu wa kuwezesha mahala pale papitike, wamepeleka askari kulinda usalama. Hili ni jema, lakini naomba sana uhai wa hao binadamu uangaliwe.
Kuna hatari yakuzaliana hapo... Kisha kesi ziletwe kwa Rais wa Dathilamu
je hawawezi kurudi walipotoka kama wanakoenda hakuendeki. Nyoosha maelezo
Hao abiria hawana simu?hawana ndugu wa kuwapigia ili wawasaidie kutoa taarifa kunako husika?wamiliki wa mabasi yaliokwama huko kwanini hawatoi taarifa za kuomba msaada wa kunusuru mabasi yao na abiria wao au wameamua kuyatelekeza?kama hii taarifa ni ya kweli basi kutakuwa kuna uzembe mkubwa sana hasa kwa mamlaka zinazohusika na utoaji wa misaada ya dharura kama watakuwa wamepata taarifa...
Mkuu sasa kama serikali itaweza kubeba madikodiko yote hayo (meaning itatumia usafiri fulani), si bora tu itumie usafiri huo huo kuokoa watu instead...
Nlitegemea hao waliopelekwa na silaha wangepelekwa na vyakula vya misaada, maji na madawa. Na usafiri uliowafikisha hao washika silaha ndo ungewabeba hao waliokwama.
Anyway ngoja tuendelee kuwaombea.
Serikali haijaleta mvua so hatuwezi kuwasadia,halafu hao wanatoka mbeya,hawakumchagua malaika wa Lucifa ni halali yao wakipate moto,ingekuwa wa kanda ya ziwa wangeokolewa.Ndugu zangu, niaandika habari hii kwa uchungu nikiomba, kwa yeyeote atakayeisoma, afikishe habari hizi kwa wahusika ili hatua za haraka za uokozi zichukuliwe.
Kuna habari kwamba barabara inayotoka chunya kwenda manyoni imekatika na wasafiri wamekwama hapo porini maeneo ya ipole kwa siku tatu sasa.
Wito wangu ninaomba sana serikali iokoe hawa binadamu. pamoja na kuwapelekea askari wenye silaha (jambo ambalo ni jema), wawapelekee haraka huduma za kibinadamu. hawa watu watakufa porini.
Tunaomba chombo chochote chenye wepesi, kipeleke haraka chakula kama mikate white and brown, biscuits za sukari na zisizo na sukari, juice za sukari na zisizo, maji ya kunywa, huduma ya kwanza, dawa za kuzuia kuumwa na mbu, hata mablanketi ya kujifunika usiku ukizingatia pia njia hiyo huwa na tsetse flies.
Ombi lingine, kwa jinsi hali ya miuondo mbinu ilivyo kwa sasa, serikali ifanye juhudi za haraka za kutoa taarifa mapema pale kunapokuwa na barabara haipitiki ili watu wasiende kukwama maporini na kuhatarisha maisha. hii pia itasaidia watu kupanga route sahihi za kufika wanakotaka kwenda.
Habari nilizozipata ni kwamba daraja limekatika kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha na hivyo hakuna uwezekano wa gari kupita ama kutoka manyoni kwenda chunya, ama kutoka chunya kwenda manyoni.
Habari zilizonifikia ni kwamba kuna abiria wamekwama hapo porini tangu juzi. ni porini ambapo hakuna duka, hakuna huduma za mpesa, hakuna hoteli wala huduma ya chakula, hakuna huduma ya afya hata duka la dawa, hakuna maji salama, hakuna hata kijiji kinachoweza kutoa msaada kwa hawa binadamu.
Nimeambiwa kwamba serikali ya mkoa wa tabora walikwenda ku survey eneo la tukio. wakati wanajiandaa kujenga daraja, ama kufanya utaratibu wa kuwezesha mahala pale papitike, wamepeleka askari kulinda usalama. hili ni jema, lakini naomba sana uhai wa hao binadamu uangaliwe.
Duh kumbe jirani tu Sio Mbali View attachment 749605