Tetesi: Wasafiri wamekwama porini kwa siku tatu, wanahitaji msaada wa haraka

Tetesi: Wasafiri wamekwama porini kwa siku tatu, wanahitaji msaada wa haraka

Serikali haijaleta mvua so hatuwezi kuwasadia,halafu hao wanatoka mbeya,hawakumchagua malaika wa Lucifa ni halali yao wakipate moto,ingekuwa wa kanda ya ziwa wangeokolewa.

Ujue kuna basi linatoka Mbeya kwenda Mwanza. Huwezi kujua nani anarudi kwao na nani anaenda ugenini. Kikubwa Mungu wa Kweli atusaidie. Ni jambo zito na linahitaji kuchukuliwa kwa uzito wake. Wale ni binadamu na wanastahili kutendewa kibinadamu licha ya kwamba ni walipa kodi.
 
Back
Top Bottom