Wasafiri wataja top 10 ya mabasi yenye huduma nzuri kwenda mikoani 2024

Wasafiri wataja top 10 ya mabasi yenye huduma nzuri kwenda mikoani 2024

Kampuni Bora ni
ABC
Tilisho
Kimbinyiko
Esther

Hao wengine wamevuma Kwa sababu tuu wako sokoni miaka Mingi kiasi kwamba wanafahamika.
Hawa Tilisho juzi nimeona bus lao ni jipyq limeandikwa VVIP lakini halina choo.
Nilicheka sana
 
Hawa Tilisho juzi nimeona bus lao ni jipyq limeandikwa VVIP lakini halina choo.
Nilicheka sana
Kwa hiyo warombo wanachimba dawa porini na VVIP yao, afadhali hata KALUWA ya Lushoto.
 
Huu uzi umenikumbusha Ndenjela Jet, Dar-Mbeya walikua na gari nzuri na huduma nzuri pia sijui walipotelea wapi
 
Shabiby is the best🙌
The best! The best!
Huduma kwa wateja
Gari safi ndani ukikaa umepoa waaah.

Njoo huku bm wee kwanza ukipiga simu tu sijui wanaongeaga wapiga debe waleee🤣
Fika ofisi zao sasa kila mtu busy na mambo yake.
Gari inasimamisha abiria ndani jotoo linakua juu


Usiambiwe Abood 🫢
Madereva wana kauli chafuuuuu
Gari inasimamisha kama iko route ya kkoo_mbagala
Gari za asubuhi vioo vinafungwa upepo mkali
Ac zinazimwa
WAtu nyomi ndani.🤣
PAle abood shekilango waliowekwa mlangoni wezi tu na wapakia mzigo lao moja.
Mizigo ya abiria wanaipigia hesabu ya pesa ndefu si ajabu shangazi kaja ukaambiwa 30,000


Shabiby No 1 mpaka sasa haina mpinzani.
 
Afadhari Machame halijawekwa kabisa. Wanaringa sana. Na ile njia ya Dom- Arusha,
Shabiby apeleke gari za kutosha kule mbwa wale washike adabu
 
Back
Top Bottom