Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa kwanini walifungwa?Hawana hatia hawa
Kwa hiyo mkuu vigezo na masharti vizingatiwe ?Ningewasaidia lakini, hebu tuambie walifungwa kwa makosa gani? Tusije kurudisha vibaka au mafisadi mitaani...
Kabisa mkuu... anataka kututoreshea wezi wa makinikia yetu...Kwa hiyo mkuu vigezo na masharti vizingatiwe ?
Basi bhana tusimpe mbinu tusije kukosa Noah bureKabisa mkuu... anataka kututoreshea wezi wa makinikia yetu...
Chombo chetu kiache kitulie kwa amani... mpaka wanaume waondokeBasi bhana tusimpe mbinu tusije kukosa Noah bure
Tena nikipata nyeusi yake itanifaa sanaChombo chetu kiache kitulie kwa amani... mpaka wanaume waondoke
![]()
Eeeenhe hiyo wakikamilisha mipango ya kupata Noah nikumbushe tena kwa picha hiiHiki hapa....
![]()
Hao ni Manji, Sign na James.Wafungwa wa 3 wana mpango wa kutoroka, Wameamua kila moja apande juu ya mabega ya mwenzie na yule alie juu amebakiza Urefu kidogo kufikia dirisha, je watumie mbinu gani waweze kutoka?
![]()