Wasaidie hawa jamaa!

Wasaidie hawa jamaa!

Jagood

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2016
Posts
2,141
Reaction score
2,388
Wafungwa wa 3 wana mpango wa kutoroka, Wameamua kila moja apande juu ya mabega ya mwenzie na yule alie juu amebakiza Urefu kidogo kufikia dirisha, je watumie mbinu gani waweze kutoka?
550265c8ff47e79ed59ba3dff6318558.jpg
 
Ooh hoo..[emoji125][emoji125][emoji125]
 
Ampandie jamaa kichwani au mikononi

carnte himself
 
Wawili wa chini wanyoshe vizuri miguu!
 
Wafungwa wa 3 wana mpango wa kutoroka, Wameamua kila moja apande juu ya mabega ya mwenzie na yule alie juu amebakiza Urefu kidogo kufikia dirisha, je watumie mbinu gani waweze kutoka?
550265c8ff47e79ed59ba3dff6318558.jpg
Hao ni Manji, Sign na James.
Ningumu kuwasaidia kwasababu ya kesi zao ni Uhujumu na Matumizi ya Ngada
 
Back
Top Bottom