Wasaidizi wa Rais, Please Msaidieni Rais Wetu Kwenye Public . Msimuachie Kila Kitu Peke Yake! .

Hili ni tatizo lingine la huyu pasco haeleweki anataka nini.
 
Tatizo ni washauri wa washauri wanaomshauri mheshimiwa rais, ndo maana unakuta mara nyingi rais ndo anawashauri washauri wake cha kufanya.
 


Magufuli yuko jinsi alivyo kama vile wewe ulivyo jinsi ulivyo na hakuna wa kukubadilisha, kama hayo ulioyaongelea ndiyo muhimu kwako kwenye kupima mafanikio ya Raisi wa nchi basi usimpigie kura lkn huwezi kumbadilisha anakuja jinsi alivyo, hivyo ningekushauri labda ungwekeza huu muda unaoutumia ktk kumbadilisha mtu jinsi alivyo uuwekeza sehemu nyingine kama huna tafuta hata hobby au nenda Mazoezini itakusaidia pia !
 
KASEMA
1. Hapangiwi
2. Fomu alichujuwa mwenyewe
3. Ukimpangia utapoteza
 
Mzee wetu kavaa kofia ya madawa ya kulevya na kuchukulia kila atakaye mgusa au kumuongelea vibaya brother makonda ni mhusika wa madawa kitu ambacho hakina ukweli kimtazamoo wangu,,,, brother makonda alianzisha vita ya madawa ya kulevya watz wengi tulimkubali,, kuhusu vyeti wengi hatukuwa na mashaka nalo. Uvamiz wa clouds akiwa na askari wenye siraha za moto kwa kisingizio cha kulazmisha kipindi flan na contents zake kiwe live bila kujali sheria lilikuwa ni kosa kubwa japo kuna tetesi kuwa alipata fununu kuhusu biashara ya madawa imehamishiwa studio za clouds, kama taarifa hii ingekuwa kwelii ilikuwa rahis sana kukamata mzigo huo kwa kuweka ulinzii wa sili wakufa ukaguz wakila anayetoka mazingira hayo ndan ya mita kadhaa ili kuhakisha hakuna mtu anayeshutukia mchezo ili asubuhii kikos mahalumu kufanyaa kaz yao,,alichokifanya ni Uvamiz bila chenga,,, brother nape kuunda tume hujakosea chochote ni kati ya mbinu aliiona yenye tja kama waziri chakushangaza kwa maelezo ya tume rc aliigomea tume maana yake kaigomea serikali sio Nape kama Nape hivyo hata kesho ikitokea mtu asitoe ushirikiano kwa tume yoyote atakuwa na hoja ya msingii,, Brother Mayalla washauri wa Rais namatumain elimu zao zipo juu sana zaid yasisi wapiga kelele mitandaon ebu wamshauri Rais wetu vzuri,, lengo letu ni moja kuiona nchin the yetu ikikua na kupanuka kimaendeleo,,,, sio kupambana na vyombo vya habari
 
Tuliwaambia "POMBE MARUFUKU IKULU" mkatuona mazombie, sasa mnalialia nini? Mayalla kikwetu ni Njaa!!
 
Maoni yako ni sahihi 110%; lakini huwezi kumshauri mtu asiyetaka ushauri, pili ushauri sio ushawishi ndugu yangu! Utamshauri nini mtu anayesema yeye ni rais anayejiamini, hakuna wa kumuelekeza la kufanya? Mwisho tukubaliane kwamba JPM amejijengea taswira ya kuogofya, sio kwa wasaidizi wake tu bali hata huku mtaani tunamuogopa sana, sasa ni msaidizi gani huyo wa kujipeleka kwake kutoa ushauri bila kuitwa kuulizwa hili na lile?! Hofu imetamalaki nchi nzima no wonder zila takwimu za taifa lenye watu wenye furaha zaidi duniani Tanzania ni ya 153 kati ya nchi 155! Watanzania tumejaa hofu kuhusu kesho yetu, tusiwahukumu wasaidizi wa Rais.
 
Umeandika vizuri kabisa na ktk mpangilio makini ila sijaelewa kwanini u nadhani it was wrong kwa Nape kuunda tume??
 
Jana nilikuwa na mwananchi mmoja wa Chato akaniambia huu ni mwanzo tu makubwa zaidi yanakuja hasa kipindi kile mwezi mchanga ukianza kutoka...

Lakini ndugu Pasko hivi magazeti yakiandika habari anazotaka raisi nani atakuwa anayanunua? Au serikali itatununulia kila mtu gazeti moja? Siwezi kutoa hela yangu kununua gazeti lenye maigizo yale ya Bandarini
 
Wamshauri kitu gani na yeye kila kitu anajifanya much knower , hatak kusikia mawazo yaliyo kinyume ya ubongo wake.
 
Mwandishi umeongea vizuri sana Ila naomba tu nikuambie unayemuongelea hashauriki Sio kwamba watu hawatoi ushauri. Yeye anafanya nini kipo kichwani mwake. Yani Kama alivyosema hapangiwi ukimshauri yeye anaona unampangia. Habari niliyoambiwa mimi Mkuu aliambiwa kabla hata hajamteua Daudi kuwa RC kwamba Huyo kiumbe amefoji elimu Ila yeye bado akamteua kwa sababu anazozijua yeye ndio Maana anaendelea kumbeba labda ipo siku tutajua kwanini Maana wanasemaga sometimes unaelewa kitu baadae sana. Time will tell.
 
Na wewe Pascal Mayalla huelewi kiswahili,unataka mtu aongee lugha gani ndo uelewe.,mtu kewhakwambia hakuna mtu wa kumpangiaunataka kina Msigwa wajisogeze kwenye mdomo wa Simba??Jiongeze bro..,MTU anataka kuwapangia mpaka wahariri lakini yeye hataki kupangiwa...
 

Kutetea ujinga yakubidi uwe mjinga zaidi ya huo ujinga ili usiuone. Pamoja na kuombewa kote amesema hakuna wa kumpangia. Sasa unataka wawe machizi ili wamshauri? Kumwelesha chizi ..........
 
Naona bado unataka issue ya uongo juu ya Mh. Makonda iendeleee, unaanza kijanja ila baadae makucha yako yanatoka.

Utaandika weeeeee, jua tunakujua ndugu unamsakama RC, unaonyesha na wewe ni walewale unataka atolewe kwenye cheo hicho.

Haukumsikia Rais siku ile au!?
Kweli bahasha hamuwezi kuacha kuzipokea.

Makonda oyeeeeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…