Wasaidizi wa Rais, Please Msaidieni Rais Wetu Kwenye Public . Msimuachie Kila Kitu Peke Yake! .

Wasaidizi wa Rais, Please Msaidieni Rais Wetu Kwenye Public . Msimuachie Kila Kitu Peke Yake! .

Yani maji yakiwazidi hamchelewi kuwalaumu washauri,sasa wanataka kuhamisha magoli makosa ya JPM wanasakiziwa washauri!
Acheni hizo bwana,moja ya washauri wakubwa wa rais ni mawaziri sote tunaona jinsi mawaziri walivyo kaa kimya wachache wanao taka kufanya kama inavyotakiwa tinaona kinachowapata
 
Sources have confirmed that security officer who pulled gun on Nnauye_Nape is from the Presidential Security Unit (PSU), not police.
 
jamani hawa wasaidizi wake wangemwambia pia apunguze kutugombeza .....yaani kila mara sisi ni wa kugombezwa tu? atuhurumie
 
You're right Pascal Mayalla. Kwa issue ya DAB alias PCM raisi ali-mess sana.

Its either hakuna mtu aliyetaka kumshauri kwa sababu wao wanaona "hashauriki", au "wanamuogopa"! Lakini pia pamoja na Nape kuunda tume ya uchunguzi, naamini ali-mess hapo, angetumia approach nyingine kabla ya kuunda tume ambayo ilikuwa biased as individuals hawakutoka sehemu sahihi kufanya uchunguzi.
 
Nakumbuka kipindi cha JK mara nyingi watu walitoka nje na kusema "JK haambiliki"!! Kwa nini maraisi wanakuwa wagumu kushaurika? Labda wanaogopa double standard??
 
Adui mkubwa wa huyu Mkuu wetu ni Mkuu yeye mwenyewe. Anatengeneza mtego ambao unaishia kumnasa yeye mwenyewe...
Hashauriki, Hauleweki, Hakosoleki, Haambiliki. Yeye anachotaka ni kusikilizwa tu, kunyenyekewa, Kusifiwa, Kupongezwa nk.
Katika hilo unategemea ni nini?
 
Paschal uko sahihi broo, kumbuka mshauri wake mkuu ni Bashite hivyo hakuna namna tuvumilie afanye anavyotaka mpaka 2020 wananchi wafanye yao.
 
Magufuli yuko jinsi alivyo kama vile wewe ulivyo jinsi ulivyo na hakuna wa kukubadilisha, kama hayo ulioyaongelea ndiyo muhimu kwako kwenye kupima mafanikio ya Raisi wa nchi basi usimpigie kura lkn huwezi kumbadilisha anakuja jinsi alivyo, hivyo ningekushauri labda ungwekeza huu muda unaoutumia ktk kumbadilisha mtu jinsi alivyo uuwekeza sehemu nyingine kama huna tafuta hata hobby au nenda Mazoezini itakusaidia pia !
Worthless comment ever!!! Hivi tunaposema Rais ni taasisi tunamaanisha nini?? Hutumzumgumzii Magu kama mzee kutoka Chato, tunazungumzia Magu kama raisi.

Hivyo raisi anaongoza taasis ya raisi, ni vyema akawa mfano wa mfano wa utawala bora ikiwemo kupokea ushauri (Ingawa si lazima kifuata kila kitu)..

Huu u- Ass licker sasa umezidi, duuuh!!??
 
umeandika vyema ila ujue huyu sio msukuma,hakuna msukuwa wa ovyo hivi huyu ni mzilankende
 
Wamshauri hahah watakuwa hawajipendi eti, mtu gani atemeshwe ugali wake kisa kumshauri huyu mkulu, wanajua kabisaaa kama jamaa anachokifanya sio, lkn ujasiri huo utautoa wapi,kama mwenyewe kasema mbele ya halaiki ya watu kuwa yy anafata anachoona bora kwake hafuati ushauri wa mtu
Tumwache tu hatuna namna nyingine labda itokee muujiza
 
Hivi mpaka Leo bado mnashusha lawama kwa wasaidizi na washauri? Hamkumsikia ubungo? MNA macho na masikio lakini hamuoni wala kusikia.. Haya endeleeni kutafuta punch bags!
 
f851275b931fa269b645ff839151feab.jpg

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
kabla ya kulia ngoja nicheke kidogo,
hahahahaaaaaaaa!!!
sasa nalia sana,
uuuwiiiiiiiiiiii!!!!
hotatenaneeee!!!!
mnaa iweeeeee!!!!
mbona 2020 haifiki upesi?
 
Back
Top Bottom