Wasaidizi wa Rais, Please Msaidieni Rais Wetu Kwenye Public . Msimuachie Kila Kitu Peke Yake! .

Wasaidizi wa Rais, Please Msaidieni Rais Wetu Kwenye Public . Msimuachie Kila Kitu Peke Yake! .

Naendelea na huu msisitizo wa wasaidizi wa rais wetu asaidiwe.
leo natoa u shauri rais wetu ni lazima atenganishe ni wakati gani atalihutubia taifa kama rais wa nchi na ni wakati gani atalihutubia kama Mwenyekiti wa CCM. Kitendo cha rais wa kufanya state event na kulihutubia taifa as Rais wa JMT na Amiri Jeshi Mkuu halafu ndani ya event anahutubia kama Mwenyekiti wa CCM na kuigeuza state event into CCM campaign conference na kupokea wanachama wapya, it's not only it's not fair, but it is wrong!.

Wasaidizi wa rais msaidieni rais wetu kutenganisha ni events gani atahutubia kama rais wa JMT na ni events gani atahutubia kama Mwenyekiti wa CCM.

Mkuu wa nchi anapokuwa fair, nchi inabarikiwa, anapokuwa unfair, nchi inalaaniwa. Baraka hizo la laana hizo zinasababishwa na kitu kinachoitwa karma, karma haijui cha mfalme, cha rais wa nchi or nani ni nani, karma inataka haki bin haki kutendeka, ile mockery ya kuwauliza madiwani wa CCM wanaotaka kwenda Chadema pia waje, it was uncalled for, I was wondering how mtu anayesema Shilawadu ndio the best TV show yake, this was a comedy, turning serious national events na ku insert comedy show inside, it's good kwa wapenzi wa comedy but very distasteful kwa wasiopenda comedy na maigizo kwenye serious matters.

Aambiwe na asaidiwe.

Paskali
Brother Pascal,tatizo linajulikana kua rais alisha sema kadamnasi kua yeye hapangiwi cha kufanya na yeyote,kwa kua hata fom ya kugombea alichukua mwenyewee.

Na kwa asili yetu watanzania ya unafiki kutamalaki,nani kati ya hao washauri atae mkabiri!,kama si unafiki hawo washauri wake wangesha jiuzuru iwe kwa kushindwa kumshauri ipasavyo au kwa mshauriwa kakataa ushauri anaopewa.

Hata hii kaili ya kurudia mara kwa mara kua alilazimishwa kua rais,haifai hata kidogo.kwani inaibua maswali mengi sana ambayo yakiulizwa ipaswavyo tutaitwa wachochezi/wasaliti.
 
Hawa wasaidizi wa rais wetu, wanapaswa kumsaidia hata katika upangaji wa vipaumbele vyake vs vipaumbele vya taifa, tunajua rais yuko Dodoma kwenye vikao vya Chama, jana kaonekana mubashara akifungua Tawi la Benki ya CRDB, leo asubuhi tunaaga mashujaa wetu, Rais wa JMT ni mkuu wa nchi na Amiri Jeshi Mkuu wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama, nafasi ya Amiri Jeshi huwa haikaimiwi, imekuaje Amiri Jeshi Mkuu hayupo kwenye kuaga vijana wake mashujaa waliokufa vitano?!, ametuma mwakilishi!, sisi watu wa kizazi cha kuhoji, tunahoji ni shughuli gani muhimu kuliko hii iliyomfanya CinC asihudhurie?!, na amini msiamini anaweza kuonekana leo Dodoma, akizindua kitu kingine au akihudhuria mkutano fulani!.

Wasaidizi wa rais ni lazima rais wetu asaidiwe katika kupanga vipaumbele vyake, japo ni kweli rais yuko Dodoma kwenye vikao muhimu vya CCM, lakini umuhimu wa vikao hivyo can not be compared to the loss of 14 fallen heroes wa taifa letu!. Mwendo wa Dar Dodoma kwa Gulf Stream is just 45 min!.

Paskali
 
Hawa wasaidizi wa rais wetu, wanapaswa kumsaidia hata katika upangaji wa vipaumbele vyake vs vipaumbele vya taifa, tunajua rais yuko Dodoma kwenye vikao vya Chama, jana kaonekana mubashara akifungua Tawi la Benki ya CRDB, leo asubuhi tunaaga mashujaa wetu, hayupo, ametuma mwakilishi!, sisi watu wa kizazi cha kuhoji, tunahoji ni shughuli gani muhimu kuliko hii iliyomfanya asihudhurie?, na amini msiamini anaweza kuonekana leo Dodoma, akizindua kitu kingine au akihudhuria mkutano Fulani!. Lazima rais wetu asaidiwe katika kupanga vipaumbele vyake, ni kweli vikao vya CCM Dodoma ni muhimu, lakini not compared to the 14 fallen heroes wa taifa letu!.

Paskali
Pengine usafiri wake toka Dodoma to Dar ungechukuwa muda mrefu let's say siku tatu sii unajua anapendwa sana na watu lazima wasimamishe msafara wake?
 
Wanabodi,

Nimeangalia kipindi cha Jicho Letu Ndani ya Habari kinacharushwa Live na Star TV kila Jumamosi asubuhi. Namshauri Dialo atafute muda kipindi hiki kirudiwe jioni wakati wa prime time ili wengi waone.

Kipindi cha leo kusema ukweli muongozaji Dotto Bulendu na Ansbert Ngurumo wameitendea haki tasnia ya Habari dhidi ya vitisho vilivyotolewa jana na rais Magufuli.

Naomba nisiingie ndani sana kuhumu Ngurumo na Bulendu walisema nini kuhusu rais kutaka kuipangia media nini cha kuandika, mimi najikita kwa watu ambao ni wasaidizi wa rais wanajukumu la kumsaidia.
Haya chini ni yangu.

JF Kujadili Watu Badala ya Kujadili Maendeleo.
JF tumelaumiwa kutumia muda mwingi kujadili watu badala ya kujadili maendeleo. Maendeleo ya kweli ni maendeleo ya watu na sii maendeleo ya vitu, na maendeleo hayo yanaletwa na watu na hayaletwi na vitu, hivyo hatua ya kwanza kabisa kabla kabla hata ya kufikiria hayo maendeleo, ni watu wenye kuyahitaji hayo maendeleo, na nani anayewaongoza kuyaleta, hivyo watu wana haki ya kumjadili kiongozi yoyote mwenye dhamana ya kuwaletea maendeleo, hata katiba imeanza kwa maneno "We The People.." ikimaanisha ni watu, hata demokrasia ni "of the people, by the people and for the people", yaani ni serikali ya watu, iliyochaguliwa na watu, na inaongozwa na watu, kwa manufaa ya hao watu, hivyo, watu ndio kila kitu, hata nchi, kitu muhimu kabisa ni watu, ndipo lije eneo etc, hivyo watu ndio kila kitu.

Tanzania ni nchi yetu sote na sio nchi ya mtu mmoja, japo Tanzania ya sasa inaitwa ni Tanzania ya Magufuli kama Darisalamu inavyoitwa Jiji la Makonda, haya ni majina tuu, kiukweli Tanzania ni ya Watanzania, na Darisalamu ni ya wana Darisalama, its the people.

Wasaidizi na Washauri wa Rais Wana Wajibu wa Kumshauri Rais ili Kumsaidia
Wasaidizi wa rais wa kila eneo wana wajibu wa kumsaidia rais wetu kwa kumshauri kufanya uamuzi sahihi na kumwachia rais kufanya uamuzi wowote ila sisi kama Watanzania tuna shauku ya kumuona kila wakali rais wetu akifanya na kutenda the right thing at the right time and doing it right. Handling ya Makonda-Bashite-Nape Thing was a wrong thing, done at at a wrong time and done wrongly!.

Washauri wa rais mko wapi na kumuona rais wetu anasema na kutenda as if hana washauri?! .
Sisi jf tutaendelea kushauri kwa lengo la kujenga.

Kuhusu uhuru wa rais wetu kushauriwa, kupokea ushauri na kusema lolote, tulilizungumza hapa Naamini Rais Magufuli ana washauri wazuri na anashauriwa vizuri tuu! , Ila...

Tanzania ni yetu sote na rais Magufuli ni rais wetu wote.
Mungu Ibariki Tanzania.
Jumamosi njema.
Paskali

Ushauri anausikiliza?
 
Hii nchi inahitaji uongozi wa kiamri..uongozi wa mashauriano ulishafeli..wacha twende na huu maana unaonyesha njia..siku zote maendeleo ya nchi huletwa na uthubutu wa wachache..na wengi huachwa nyuma kama ilivyokuwa kwa nape na wenzie..
Dah...wachache sana watakuelewa....hasa wale wasiokuwa wapiga Domo[emoji41]
 
Wanabodi
Bandiko hili ni kuhusu rais wetu kutoshauriwa vizuri kwenye baadhi ya maeneo.

Tukio la kukamatwa na kushikiliwa kwa ndege yetu na kuzuiliwa nchini Africa Kusini ni matokeo ya rais kutoshauriwa vizuri.

Kwanza kudaiwa sio kosa, kosa ni kushindwa kulipa madeni halali au madai halali.

Hii sio mara ya kwanza kwa sisi Tanzania kama nchi kudaiwa au mali zetu kuzuiliwa. Kama Richmond tulidaiwa na tukalipa, ndege yetu ilipozuiliwa Canada, tulilipa, huyu Beberu Steyn alipotudai tulilipa tena tumekula ng'ombe mzima tumebakisha tuu mkia, nani alimshauri rais wetu tusimalizie kulipa?. Huu ulikuwa ni ushauri sahihi?.

Naomba tukiisha ikomboa ndege yetu na ikarejea nyumbani, lazima tukae chini tuulizane nani alishauri nini, kama kuna watu wa kuwajibika, wawajibike.

Pia sasa tufanye tathmini ya madeni yetu hatarishi ya nje ya nchi na tutalipe kabla ya kuendelea na safari za nje, usikute saa hizi baada ya watu kusikia tunajipanga kutua London, watu wako tayari na makaratasi yao mezani na muhuri mkononi wakisubiri tuu itue, muhuri unagongwa na ndege yetu inadakwa!.

Nini kilichofanya tusiendelee kumlipa deni lake Beberu Steyn?.

P
 
Leo Jiwe kaharibu sana. Ile hotuba ya leo siyo professional kwa level ya nchi yetu. Suala la kitaalamu lakini yeye amelazimisha tufuate HISIA zake binafsi. Kweli "tuna Rais wa ajabu haijapata kutokea" (Tundu Lissu)
 
Hakuna msukuma mwenye akili kama za Sizonje anaaribia watu kabila lao.

Wale wakarimu wasiompita mtu bila salaam wasiopenda uwatembelee kisha usile kwao!!

Ndio watoke kabila moja na Sizonje mwenye roho mbaya kupita ubaya wenyewe.

Jamani mara ingine mkiona [emoji84] kubwa hiyo ni housing tu ndani mashine ndogo.
Hahahahahahahahahahahahahaha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanabodi,

Nimeangalia kipindi cha Jicho Letu Ndani ya Habari kinacharushwa Live na Star TV kila Jumamosi asubuhi. Namshauri Dialo atafute muda kipindi hiki kirudiwe jioni wakati wa prime time ili wengi waone.

Kipindi cha leo kusema ukweli muongozaji Dotto Bulendu na mgeni wake Ansbert Ngurumo wameitendea haki tasnia ya Habari dhidi ya vitisho vilivyotolewa jana na rais Magufuli kwa media.

Naomba nisiingie ndani sana kuhusu Ngurumo na Bulendu walisema nini kuhusu rais kutaka kuipangia media nini cha kuandika, mimi naomba kujikita kwa watu ambao ni wasaidizi wa rais wanajukumu la kumsaidia kwa kumpa ushauri sahihi wa hatua za kuchukua kwenye situation fulani fulani as wajibu wao, duty of care not favours, not options but as their responsibilities.
Haya chini ni yangu.

JF Kujadili Watu Badala ya Kujadili Maendeleo.
JF tumelaumiwa kutumia muda mwingi kujadili watu badala ya kujadili maendeleo. Maendeleo ya kweli ni maendeleo ya watu na sii maendeleo ya vitu, na maendeleo hayo yanaletwa na watu na hayaletwi na vitu, hivyo hatua ya kwanza kabisa kabla hata ya kufikiria hayo maendeleo, kitu cha kwanza na muhimu kuliko vyote ni watu kwasababu hata sababu ya hayo maendeleo ni watu, wenye kuyahitaji hayo maendeleo ni watu, na wanaoyaleta hayo maendeleo ni watu, kama ilivyo demokrasia ni " of the people, by the people and for the people", huwezi kabisa kukweoa kuzungumzia watu haswa ni nani anayewaongoza hao watu kuyaleta hayo maendeleo, hivyo watu wana haki ya kumjadili kiongozi yoyote mwenye dhamana ya kuwaletea maendeleo, hata katiba imeanza kwa maneno "We The People.." ikimaanisha ni watu, hata demokrasia ni "of the people, by the people and for the people", yaani ni serikali ya watu, iliyochaguliwa na watu, na inaongozwa na watu, kwa manufaa ya hao watu, hivyo, watu ndio kila kitu, hata nchi, kitu muhimu kabisa ni watu, ndipo lije eneo etc, hivyo watu ndio kila kitu.

Tanzania ni nchi yetu sote na sio nchi ya mtu mmoja, japo Tanzania ya sasa inaitwa ni Tanzania ya Magufuli kama Darisalamu inavyoitwa Jiji la Makonda, haya ni majina tuu, kiukweli Tanzania ni ya Watanzania, na Darisalamu ni ya wana Darisalama, its the people.

Wasaidizi na Washauri wa Rais Wana Wajibu wa Kumshauri Rais ili Kumsaidia
Wasaidizi wa rais wa kila eneo wana wajibu wa kumsaidia rais wetu kwa kumshauri kufanya uamuzi sahihi na kumwachia rais kufanya uamuzi wowote ila sisi kama Watanzania tuna shauku ya kumuona kila wakali rais wetu akifanya na kutenda the right thing at the right time and doing it right. Rais asiposhauriwa vizuri, matokeo yake ni majanga kwa taifa letu, na kama ilivyo kanuni ya majanga kuwa mchuma janga hula na wakao, ushauri wowote ambao sio sahihi, rais akishauriwa, halafu katika kutekelezwa ushauri huu ukawa na matokeo mabaya, the impact ya matokeo hayo yatatuathiri sisi Watanzania wote collectively as a nation na sio rais pekee au rais na serikali yake bali madhara ya ushauri usio sahihi athari zake ni kwa Tanzania nzima kama Taifa.

Washauri wa rais mko wapi na mnafanya nini hadi kumuacha rais huku tukimshuhudiana kwa kumuona rais wetu anasema na kutenda baadhi ya mambo akiwa as if hakushauriwa vizuri, au yuko kama vile hana washauri?! .
Sisi jf tutaendelea kushauri kwa lengo la kujenga.

Kuhusu uhuru wa rais wetu kushauriwa, kupokea ushauri na kusema lolote, tulilizungumza hapa Naamini Rais Magufuli ana washauri wazuri na anashauriwa vizuri tuu! , Ila...

Tanzania ni yetu sote na rais Magufuli ni rais wetu wote.
Mungu Ibariki Tanzania.
Jumamosi njema.
Paskali
Mshauriwake ni Makonda kama ulivyo mnasibu usituchoshe mkuu.
 
Back
Top Bottom