Wasaidizi wa Rais, Please Msaidieni Rais Wetu Kwenye Public . Msimuachie Kila Kitu Peke Yake! .

Brother Pascal,tatizo linajulikana kua rais alisha sema kadamnasi kua yeye hapangiwi cha kufanya na yeyote,kwa kua hata fom ya kugombea alichukua mwenyewee.

Na kwa asili yetu watanzania ya unafiki kutamalaki,nani kati ya hao washauri atae mkabiri!,kama si unafiki hawo washauri wake wangesha jiuzuru iwe kwa kushindwa kumshauri ipasavyo au kwa mshauriwa kakataa ushauri anaopewa.

Hata hii kaili ya kurudia mara kwa mara kua alilazimishwa kua rais,haifai hata kidogo.kwani inaibua maswali mengi sana ambayo yakiulizwa ipaswavyo tutaitwa wachochezi/wasaliti.
 
Hawa wasaidizi wa rais wetu, wanapaswa kumsaidia hata katika upangaji wa vipaumbele vyake vs vipaumbele vya taifa, tunajua rais yuko Dodoma kwenye vikao vya Chama, jana kaonekana mubashara akifungua Tawi la Benki ya CRDB, leo asubuhi tunaaga mashujaa wetu, Rais wa JMT ni mkuu wa nchi na Amiri Jeshi Mkuu wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama, nafasi ya Amiri Jeshi huwa haikaimiwi, imekuaje Amiri Jeshi Mkuu hayupo kwenye kuaga vijana wake mashujaa waliokufa vitano?!, ametuma mwakilishi!, sisi watu wa kizazi cha kuhoji, tunahoji ni shughuli gani muhimu kuliko hii iliyomfanya CinC asihudhurie?!, na amini msiamini anaweza kuonekana leo Dodoma, akizindua kitu kingine au akihudhuria mkutano fulani!.

Wasaidizi wa rais ni lazima rais wetu asaidiwe katika kupanga vipaumbele vyake, japo ni kweli rais yuko Dodoma kwenye vikao muhimu vya CCM, lakini umuhimu wa vikao hivyo can not be compared to the loss of 14 fallen heroes wa taifa letu!. Mwendo wa Dar Dodoma kwa Gulf Stream is just 45 min!.

Paskali
 
Pengine usafiri wake toka Dodoma to Dar ungechukuwa muda mrefu let's say siku tatu sii unajua anapendwa sana na watu lazima wasimamishe msafara wake?
 

Ushauri anausikiliza?
 
Hii nchi inahitaji uongozi wa kiamri..uongozi wa mashauriano ulishafeli..wacha twende na huu maana unaonyesha njia..siku zote maendeleo ya nchi huletwa na uthubutu wa wachache..na wengi huachwa nyuma kama ilivyokuwa kwa nape na wenzie..
Dah...wachache sana watakuelewa....hasa wale wasiokuwa wapiga Domo[emoji41]
 
Wanabodi
Bandiko hili ni kuhusu rais wetu kutoshauriwa vizuri kwenye baadhi ya maeneo.

Tukio la kukamatwa na kushikiliwa kwa ndege yetu na kuzuiliwa nchini Africa Kusini ni matokeo ya rais kutoshauriwa vizuri.

Kwanza kudaiwa sio kosa, kosa ni kushindwa kulipa madeni halali au madai halali.

Hii sio mara ya kwanza kwa sisi Tanzania kama nchi kudaiwa au mali zetu kuzuiliwa. Kama Richmond tulidaiwa na tukalipa, ndege yetu ilipozuiliwa Canada, tulilipa, huyu Beberu Steyn alipotudai tulilipa tena tumekula ng'ombe mzima tumebakisha tuu mkia, nani alimshauri rais wetu tusimalizie kulipa?. Huu ulikuwa ni ushauri sahihi?.

Naomba tukiisha ikomboa ndege yetu na ikarejea nyumbani, lazima tukae chini tuulizane nani alishauri nini, kama kuna watu wa kuwajibika, wawajibike.

Pia sasa tufanye tathmini ya madeni yetu hatarishi ya nje ya nchi na tutalipe kabla ya kuendelea na safari za nje, usikute saa hizi baada ya watu kusikia tunajipanga kutua London, watu wako tayari na makaratasi yao mezani na muhuri mkononi wakisubiri tuu itue, muhuri unagongwa na ndege yetu inadakwa!.

Nini kilichofanya tusiendelee kumlipa deni lake Beberu Steyn?.

P
 
“Niguse ninuke”
Ninawasikitikia washauri wanafiki na waoga wanaokaa kimya au kumshauri vibaya Rais wetu.
Bernard K. Membe. Mstaafu!"
Huu ni ujumbe kwa wasaidizi wa rais.
P.
 
Leo Jiwe kaharibu sana. Ile hotuba ya leo siyo professional kwa level ya nchi yetu. Suala la kitaalamu lakini yeye amelazimisha tufuate HISIA zake binafsi. Kweli "tuna Rais wa ajabu haijapata kutokea" (Tundu Lissu)
 
Hahahahahahahahahahahahahaha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mshauriwake ni Makonda kama ulivyo mnasibu usituchoshe mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…