mohammed john
Member
- Jan 17, 2020
- 44
- 27
HahahahahahahahaTuliwaambia "POMBE MARUFUKU IKULU" mkatuona mazombie, sasa mnalialia nini? Mayalla kikwetu ni Njaa!!
ila hotuba ya leo hakupata makofi.Magu hataki kushauriwa ana taka mapambio tu na kumpigia makofi
Hahahahahahhamkuu hamna anayetumia ile kitu akawa bashite wewe fuatilia rasta wengi ni wapole na watulivu!
Rais Magufuli ana washauri wazuri tuu na anashauriwa vizuri.
P
Sasa Kama mtu ni kichwa ngumu...mnampa ushauri akienda public anataka kuongea anavyojua yeye KEMIA ....unafanyaje ....??? hajui kama rais mara nyingi unaongea baada ya kushauriwa na Presidential Advisors [The Presidency ] ,haitaki ujuaji.Wanabodi,
Nimeangalia kipindi cha Jicho Letu Ndani ya Habari kinacharushwa Live na Star TV kila Jumamosi asubuhi. Namshauri Dialo atafute muda kipindi hiki kirudiwe jioni wakati wa prime time ili wengi waone.
Kipindi cha leo kusema ukweli muongozaji Dotto Bulendu na mgeni wake Ansbert Ngurumo wameitendea haki tasnia ya Habari dhidi ya vitisho vilivyotolewa jana na rais Magufuli kwa media.
Naomba nisiingie ndani sana kuhusu Ngurumo na Bulendu walisema nini kuhusu rais kutaka kuipangia media nini cha kuandika, mimi naomba kujikita kwa watu ambao ni wasaidizi wa rais wanajukumu la kumsaidia kwa kumpa ushauri sahihi wa hatua za kuchukua kwenye situation fulani fulani as wajibu wao, duty of care not favours, not options but as their responsibilities.
Haya chini ni yangu.
JF Kujadili Watu Badala ya Kujadili Maendeleo.
JF tumelaumiwa kutumia muda mwingi kujadili watu badala ya kujadili maendeleo. Maendeleo ya kweli ni maendeleo ya watu na sii maendeleo ya vitu, na maendeleo hayo yanaletwa na watu na hayaletwi na vitu, hivyo hatua ya kwanza kabisa kabla hata ya kufikiria hayo maendeleo, kitu cha kwanza na muhimu kuliko vyote ni watu kwasababu hata sababu ya hayo maendeleo ni watu, wenye kuyahitaji hayo maendeleo ni watu, na wanaoyaleta hayo maendeleo ni watu, kama ilivyo demokrasia ni " of the people, by the people and for the people", huwezi kabisa kukweoa kuzungumzia watu haswa ni nani anayewaongoza hao watu kuyaleta hayo maendeleo, hivyo watu wana haki ya kumjadili kiongozi yoyote mwenye dhamana ya kuwaletea maendeleo, hata katiba imeanza kwa maneno "We The People.." ikimaanisha ni watu, hata demokrasia ni "of the people, by the people and for the people", yaani ni serikali ya watu, iliyochaguliwa na watu, na inaongozwa na watu, kwa manufaa ya hao watu, hivyo, watu ndio kila kitu, hata nchi, kitu muhimu kabisa ni watu, ndipo lije eneo etc, hivyo watu ndio kila kitu.
Tanzania ni nchi yetu sote na sio nchi ya mtu mmoja, japo Tanzania ya sasa inaitwa ni Tanzania ya Magufuli kama Darisalamu inavyoitwa Jiji la Makonda, haya ni majina tuu, kiukweli Tanzania ni ya Watanzania, na Darisalamu ni ya wana Darisalama, its the people.
Wasaidizi na Washauri wa Rais Wana Wajibu wa Kumshauri Rais ili Kumsaidia
Wasaidizi wa rais wa kila eneo wana wajibu wa kumsaidia rais wetu kwa kumshauri kufanya uamuzi sahihi na kumwachia rais kufanya uamuzi wowote ila sisi kama Watanzania tuna shauku ya kumuona kila wakali rais wetu akifanya na kutenda the right thing at the right time and doing it right. Rais asiposhauriwa vizuri, matokeo yake ni majanga kwa taifa letu, na kama ilivyo kanuni ya majanga kuwa mchuma janga hula na wakao, ushauri wowote ambao sio sahihi, rais akishauriwa, halafu katika kutekelezwa ushauri huu ukawa na matokeo mabaya, the impact ya matokeo hayo yatatuathiri sisi Watanzania wote collectively as a nation na sio rais pekee au rais na serikali yake bali madhara ya ushauri usio sahihi athari zake ni kwa Tanzania nzima kama Taifa.
Washauri wa rais mko wapi na mnafanya nini hadi kumuacha rais huku tukimshuhudiana kwa kumuona rais wetu anasema na kutenda baadhi ya mambo akiwa as if hakushauriwa vizuri, au yuko kama vile hana washauri?! .
Sisi jf tutaendelea kushauri kwa lengo la kujenga.
Kuhusu uhuru wa rais wetu kushauriwa, kupokea ushauri na kusema lolote, tulilizungumza hapa Naamini Rais Magufuli ana washauri wazuri na anashauriwa vizuri tuu! , Ila...
Tanzania ni yetu sote na rais Magufuli ni rais wetu wote.
Mungu Ibariki Tanzania.
Jumamosi njema.
Paskali
Nimependa hapo ulipokumbushia wapi Mzee mrema alivuruga mambo.Sasa Kama mtu ni kichwa ngumu...mnampa ushauri akienda public anataka kuongea anavyojua yeye KEMIA ....unafanyaje ....??? hajui kama rais mara nyingi unaongea baada ya kushauriwa na Presidential Advisors [The Presidency ] ,haitaki ujuaji.
Nadhani unakumbuka Pascal wakati unaandaa kipindi maarufu cha THE KITIMOTO pale the CLUB BILICANUS Kile kipindi hakitakuja kutokea ...watu wanasiasa wako wengine ambao wako smart kwenye public speaking ...ila wako kama huyu sio wazuri kwenye public speaking ..
Lakini unakumbuka kisa cha Prof Baregu na Augustine Mrema palle kilimanjaro hotel.....Yeye alipewa kazi na chama kilichokua na nguvu wakati huo kuwa mshauri wa mgombea urais na moja ya jukumu lake lilikuwa kumuandalia hotuba ya Mdahalo wake wa urais , wa kwanza na wa mwisho nchi hii [sad]
Ule mdahalo ulikuwa game changer kwa mkapa ulimpaisha kwakua alisimama kwenye ILANI na hotuba yake .....Mrema alipofika muda wake wa kuongea aliweka kando HOTUBA aliyoandaliwa na Timu ya washauri wake wakiongozwa na Prof Baregu, Dr Ringo Tenga , Masumbuko Lamwai, Sengodo Mvungi , Dr Kabudi na wasomi wengine akaanza kuongea Utumbo ule ule wa Chavda na DHAHABU airport.....ule na ndio ukawa mwisho wake .......alikuwa kwenye kura za maoni anaongoza umaarufu wa kisayansi ukashuka ghafla mkapa akaanza kuchanja mbuga ....Ndio kawaida ya "hawaambiliki" na ndio mwisho wao
Mkuu TumainiEl, hatukuchagua malaika, tumemchagua binadamu, hivyo can make mistakes kama human beings wengine wote ndio maana tumemuwekea wasaidizi wa kumsaidia ikiwemo kumshauri, hawa wasaidizi ndio hawamsaidii ipasavyo!.Mzee P unajuwa mada zako zinatuvuruga sana? Hivi nikuulize as now tatizo ni mawaziri au Rais?
Swali ni kweli rais Magufuli anashauriwa vibaya?.Wanajukwaa,yule rafiki mkubwa wa Magu katika ukanda huu wa Afrika mashariki bwana Raila Odinga amekiri kwamba huenda rais Magufuli hapewi ushauri mzuri na amewaasa viongozi wengine wampe ushauri kwani ni msikivu. Hayo yamejiri wakati akihojiwa na kituo cha habari, japo haikuwekwa wazi ni katika jambo gani ndugu Raila ameona rais hashauriwi vizuri.
WanaJF vipi maoni yenu kuhusu ushauri wa Raila Odinga?
View attachment 1441612
Huwezi kutatua utata ikiwa mwenye utata hataki kuonekana mtataMkuu TumainiEl, hatukuchagua malaika, tumemchagua binadamu, hivyo can make mistakes kama human beings wengine wote ndio maana tumemuwekea wasaidizi wa kumsaidia ikiwemo kumshauri, hawa wasaidizi ndio hawamsaidii ipasavyo!.
Nasisitiza hata kwenye janga hili la Corona, rais Magufuli asaidiwe sana na wasaidizi wake. Kila rais atakachoongea kama kina utata wasaidizi wake wajitokeze kuutatua utata wake.
Mfano vurus ana life span, baada ya muda fulani kama hajapata medium ya kuingia na kufanya mutation hawezi ku survive,
Rais Magufuli kasema kuna uwezekano barakoa zimetiwa virusi, wataalamu wajitokeze kufafanua.
Rais Magufuli ameponda Fumigation ya Makonda,
Hili lifafanuliwe.
Rais Magufuli ameshauri wananchi wajifukize, lifafanuliwe,
Rais Magufuli ameruhusu wananchi watumie barakoa za kujishonea, wataalamu walipaswa kujitokeza kesho yake kutoa muongozo hizo barakoa ziwekewe linings gani ndani ili zikidhi viwango etc.
Wasaidizi wa rais, hata kwenye hili la Corona, msaidieni rais Magufuli, msimuachie pekee yake.
P
Magu ni zaidi ya mjuavyo ingawaje unajua ni zaidi ya umjuavyo!!My Take
Kwa vile taarifa ya msiba ni shocking news, flaws ndogo ndogo katika tangazo la msiba huo, zinavumilika.
Ni kweli kulikuwa hakuna uharaka wa kukimbilia kutangaza usiku mkubwa, ili kutoa nafasi kwa rais kutangaza in a proper way na kufanya mashauriano na watu wawili watatu ili kutoa tangazo kamilifu kisheria, kikanuni na kiutaratibu.
Namalizia kwa kutoa pole kwa Rais wa JMT, Dr. John Pombe Magufuli, Familia ya Mkapa na Watanzania kwa ujumla, kwa msiba huu mkubwa wa rais Mstaafu, Benjamin Mkapa.
Paskali
Wasaidizi wa Rais, Please Msaidieni Rais Wetu Kwenye Public . Msimuachie Kila Kitu Peke Yake! .
Tokea awali nimekuwa nahoji weledi wa Mkurugenzi wa sasa wa Mawasiliano Ikuli, Msigwa.Wanabodi,
Naangalia Kipindi cha Jicho Letu Ndani ya Habari, kipindi kinajadli Msiba wa Benjamin Mkapa.
Tangazo la Msiba lililotolewa na Rais Magufuli, Kurungenzi ya Mawasiliano Ikulu imelaumiwa kwa kutokumsaidia rais kikamilifu kutoa tangazo hili, hali inayotafsiriwa kuwa katika baadhi ya matukio, Kurengenzi hiyo inahitaji kusaidiwa na manguli wazoefu ili waweze kumsaidia rais Magufuli katika baadhi ya matukio.
Manguli wa Mwanza, Dotto Bulendu, Edwin Soko na Moses Mathews, wamesema kwa vile hii ni shocking news, kulipaswa kuwepo kwa muda kidogo wa kumuandaa rais Magufuli kutoa tangazo hilo kulitangazia kuanzia, timing, dress code na content za tangazo lenyewe.
Timing
Kwa vile msiba umetokea usiku, kutoa tangazo saa 6:30 usiku was not the right timing kwa Watanzania, news ya msiba ingekuwa held, halafu Wahariri wakaitwa Ikulu usiku ule, halafu Tangazo litolewe live saa 12:00 asubuhi, rais akiwa na VP na PM.
TCRA kutoa taarifa vyombo vyote vya habari vya k electronic kujiunga na TBC ili hiyo live itangazwe Tanzania nzima.
Dress Code.
Kuna mavazi ya kawaida mtu anaweza kuvaa katika tukio lolote, lakini kuna dress code ya msiba. Wanasema rais Magufuli alipaswa kushauriwa kutoa tangazo hilo akiwa amevaa a proper dress code ya tangazo hilo.
Contents za Tangazo
Tangazo la msiba wa kiongozi wa kitaifa linaongozwa na sheria ya Vifo vya viongozi, sheria imeweka contents za kisheria ambazo lazima liwe na vitu 6
Tangazo la rais Magufuli kutangaza kifo cha Mkapa, lilikosa, baadhi ya taarifa muhimu za kisheria, hivyo kuleta sintofahamu kwa jamii.
- Jina la Kiongozi ni nani
- Kifo kimetokea lini
- Kifo kimetokea wapi nchini, mkoani, safarini, nje ya nchi
- Mahali mahsus, kimetokea nyumba, hospitalini, safarini,
- Kama ni hospitalini, hospitali gani
- Sababu za kifo, kimesababishwa na nini, maradhi, ajali, usingizini, etc
Hajawahi kusikika kuwa Benjamin Mkapa anasumbuliwa na maradhi yoyote, hivyo taarifa kuwa amefariki hospitali ni shocking, hospitali gani na ameumwa nini, ni maswali ambayo taarifa ya rais ilikosa.
My Take
Kwa vile taarifa ya msiba ni shocking news, flaws ndogo ndogo katika tangazo la msiba huo, zinavumilika.
Ni kweli kulikuwa hakuna uharaka wa kukimbilia kutangaza usiku mkubwa, ili kutoa nafasi kwa rais kutangaza in a proper way na kufanya mashauriano na watu wawili watatu ili kutoa tangazo kamilifu kisheria, kikanuni na kiutaratibu.
Namalizia kwa kutoa pole kwa Rais wa JMT, Dr. John Pombe Magufuli, Familia ya Mkapa na Watanzania kwa ujumla, kwa msiba huu mkubwa wa rais Mstaafu, Benjamin Mkapa.
Paskali
Wasaidizi wa Rais, Please Msaidieni Rais Wetu Kwenye Public . Msimuachie Kila Kitu Peke Yake! .
Kule Twitter mara kibao tu Msigwa nimempa za uso kuhusu tabia yake ya kufanya kazi as if ni Kada wa Chama... he's no professionalism at all.Tokea awali nimekuwa nahoji weledi wa Mkurugenzi wa sasa wa Mawasiliano Ikuli, Msigwa.
Msigwa haistahili hiyo ofisi kwa vile badala ya kufanya kazi kama MTU wa habari ofisi ya Rais yeye anafanya kazi kama ofisa habari wa mwenyekiti wa Chama (propaganda) au mtumishi binafsi wa Magufuli hivyo kuishi kwa kusifu na kuabudu.
Pamoja na kuwa tunatambua madhaifu ya mkuu mwenyewe, lakini ni wajibu wa mkurugenzi wa mawasiliano Ikulu kupambana kutunza heshima ya ofisi kuu ya nchi.
Nadhani baada ya tukio hili Greyson Msigwa arudi zake tuu TBC akaripoti matukio au achukuliwe na chama
Hata kwenye hii issue ya Gwajiboy na Gwajigirl, ili kupunguza the bickering going around, wasaidizi wa rais, mshaurini awapumzishe wote wawili, ili ugomvi wao wakaumalize kwenye kikao cha familia.Wasaidizi na Washauri wa Rais Wana Wajibu wa Kumshauri Rais ili Kumsaidia
Wasaidizi wa rais wa kila eneo wana wajibu wa kumsaidia rais wetu kwa kumshauri kufanya uamuzi sahihi na kumwachia rais kufanya uamuzi wowote ila sisi kama Watanzania tuna shauku ya kumuona kila wakali rais wetu akifanya na kutenda the right thing at the right time and doing it right. Rais asiposhauriwa vizuri, matokeo yake ni majanga kwa taifa letu, na kama ilivyo kanuni ya majanga kuwa mchuma janga hula na wakao, ushauri wowote ambao sio sahihi, rais akishauriwa, halafu katika kutekelezwa ushauri huu ukawa na matokeo mabaya, the impact ya matokeo hayo yatatuathiri sisi Watanzania wote collectively as a nation na sio rais pekee au rais na serikali yake bali madhara ya ushauri usio sahihi athari zake ni kwa Tanzania nzima kama Taifa.
Washauri wa rais mko wapi na mnafanya nini hadi kumuacha rais huku tukimshuhudiana kwa kumuona rais wetu anasema na kutenda baadhi ya mambo akiwa as if hakushauriwa vizuri, au yuko kama vile hana washauri?! .
Sisi jf tutaendelea kushauri kwa lengo la kujenga.
Tanzania ni yetu sote na rais wetu ni rais wa wote.
Mungu Ibariki Tanzania.
Jumamosi njema.
Paskali
Nimecheka eti wamfunge kambaβ¦ alikua Mwendawazimu Kichaa.πππππPrezidaa ni mbishi na wasaidizi wake hawana la kufanya labda kama wamfunge kamba, ila jamaa ni sikio la kufa.
Leo Machi 17 ambayo ni Magufuli Day, nadurusu baadhi ya mabandiko yangu humu kumhusu JPM huku nikitafakari, if I was right or I was wrong.Wanabodi,