Wasaidizi wa Rais Samia warekebishe makosa aliyofanya katika mahojiano na BBC, vinginevyo ataonekana siyo muungwana

Hakuna binadamu aliye mkamilifu. Rais SSH alifanya makosa kwa kutoa kauli zisizo "sahihi" ktk interview yake na Salum Kikeke wa BBC.

Hilo siyo jambo geni kumtokea kiongozi yeyote yule. Kinachofanyika ktk mazingira kama hayo ni kiongozi mwenyewe, au wasaidizi wake, kujitokeza kuomba RADHI na kurekebisha makosa yaliyojitokeza.

Nashangaa kwanini mpaka sasa hivi hakuna mtu wa IKULU aliyejitokeza kurekebisha kauli alizotoa Rais. Ukimya huu wa Rais SSH, pamoja wasaidizi wake, unaweza kuleta hisia kwamba Rais hakukosea kibidamu, bali alifanya makusudi au alidhamiria kutoa majibu yale.

Zaidi ya kuharibu taswira ya Rais na kuporomosha heshima yake, hali hiyo inatoa mwanya kwa Rais kuitwa majina mabaya yenye kumvunjia heshima.

Hivi kweli Rais SSH ameridhika na majibu aliyotoa kwa BBC? Je, wasaidizi wake wanadhani Rais ametenda sawa, na kwa kukaa kimya wanamtendea haki Rais?

Nawasihi wasaidizi wa Rais wajitokeze kurekebisha mapungufu yaliyojitokeza, na kuwaomba RADHI wananchi.
Hana uwezo huyo Mwanamke..
She is below average by far.
 
Samia ni dikteta mwenye maumbile ya kike
 
... vp is a president on waiting! Haitakiwi kuwa suala la ushabiki hata kidogo kwenye kumpata mtu wa kukalia hicho kiti! Nireteeeni gwajiboy! Nireteeeeeeeni gwajiboy! Nireteeeeeeeeeeeeeeeeeni gwajiboy! Inaonesha jinsi busara na hekima ilivyokosekana kwenye mambo mengi; as a result ndicho kinachoonekana leo.
Hivi hii issue ya VP kuchukuwa kiti cha urais iwapo rais anashindwa kuendelea na uongozi Mwl Nyerere ndiye aliye-suggest? Sikumbuki vizuri lakini ndahani hili lilikuwa wazo lake. Kusema ukweli kwa mazingira ya Tanzania halifai kabisa kwani kuna hasara zaidi ya faida. Ni bora tungeingia gharama ya kuingia kwenye uchaguzi mpya.
 
Inawezekana wakati hii inapitishwa, raisi wa SMZ ndo alikuwa VP wa JMT. Sasa sijui walipopata wazo la kuwa ipo siku linchi lote linaweza kutawaliwa na upande mmoja, walibadilisha nafasi ya VP kutokuwa raisi wa kule na kusema ndo atakuwa mrithi?

Nadhani hawakuwahi kudhani kuwa inawezekana raisi akakata moto madarakani!
 
Kwamba Wananchi tumekubaliana na kuridhika kabisa kuhusu TOZO.....

Inashtusha hii......
 
..Rais au wasaidizi wanapaswa kuomba radhi.

..Nina hakika SSH atajizolea sifa kemkem za uungwana.
Hawataomba radhi kwa lolote. Hata wakifanya hivyo, hakuna sifa yoyote watakayozoa. Mtu apate sifa kwa kuomba radhi ya kinafiki? Never.

Akitenda yaliyo mema kama kufuta hizo tozo na kuachana na politically motivated detentions, labda anaweza kujipatia sifa japo kiduchu
 
Wamekutana wote weupe,wasaidizi weupe,msadiwa mweupe
Kuna member mmoja siku za nyuma alitoa maoni watu wakampinga na kusema siyo rahisi kutokea lakini kadiri tunavyokwenda ndivyo inavyokuwa kweli. Ilikuwa ni wakati wa Kikwete, akasema japo tunalaumu Kikwete ni rahisi mbovu lakini anaweza kuja kutokea rais mwingine mbovu zaidi. Wengi walipinga kwa sababu waliona kama ni vigumu kufanya tena makosa. Fast foward akaja Magufuli, na akawa mbovu zaidi. Tunakoelekea namna kama tunaweza kuja kusema tena afadhali ya Magufuli. Kuna kanuni moja: ukishashusha standards za uongozi kwa kuweka wa kiwango cha chini, basi uwezekana wa viwango kushuka zaidi ni mkubwa. Haya yanaonekana hata kwa ma-RC na ma-DC. Viwango vyao vilianza kushuka wakati wa Kikwete na kadiri tunavyosonga mbele, viwango vinazidi kushuka.
 
Hivi hii issue ya VP kuchukuwa kiti cha urais iwapo rais anashindwa kuendelea na uongozi Mwl Nyerere ndiye aliye-suggest? Sikumbuki vizuri lakini ndahani hili lilikuwa wazo lake. Kusema ukweli kwa mazingira ya Tanzania halifai kabisa kwani kuna hasara zaidi ya faida. Ni bora tungeingia gharama ya kuingia kwenye uchaguzi mpya.
... kipindi mfumo wa vyama vingi unaanza kati ya mambo yaliyoleta shida ni nafasi ya makamu wa rais. Kwa mujibu wa makubaliano ya muungano (wenyewe wanaita hati za muungano) na Katiba kwa ujumla, endapo rais akitoka upande mmoja wa muungano, basi makamu atoke upande wa pili na kwa utaratibu wao wa ki-CCM by default Rais wa Zanzibar alikuwa makamu wa Rais endapo Rais angetoka Tanganyika.

TATIZO: Baada ya vyama vingi, ikitokea Rais wa Tanzania (kichekesho) na wa Zanzibar wakatokea vyama tofauti itakuwaje? Ndipo solution ya haraka haraka ikaonekana waige utaratibu wa Marekani wa mgombea mwenza ambao automatically Rais akishindwa kutekeleza majukumu yake, VP (chama hicho hicho) anakalia kiti bila kuhitaji kuingia kwenye uchaguzi kwani kwa kufanya hivyo kuna uwezekano atakayechaguliwa akatoka chama tofauti na marehemu hali ambayo itainyima CCM kutawala pande zote. Of course hofu kuu ilikuwa Maalim Seif na huo utaratibu kimsingi ulimlenga yeye kutokana na hali ya kisiasa ya wakati ule!
 
Inawezekana wakati hii inapitishwa, raisi wa SMZ ndo alikuwa VP wa JMT. Sasa sijui walipopata wazo la kuwa ipo siku linchi lote linaweza kutawaliwa na upande mmoja, walibadilisha nafasi ya VP kutokuwa raisi wa kule na kusema ndo atakuwa mrithi?

Nadhani hawakuwahi kudhani kuwa inawezekana raisi akakata moto madarakani!

..Katiba ya chama kimoja ilielekeza kwamba Raisi wa muungano akitoka Znz, basi Waziri Mkuu atatokea Tanganyika na atakuwa Makamu wa Kwanza wa Raisi, na Raisi wa Znz atakuwa Makamu wa pili wa Raisi.

..Wakati [1985 t0 1995 ]Rais wa muungano akiwa Mzee Ali Hassan Mwinyi, Mawaziri wake wakuu ambao walikuwa ni Joseph Warioba, Cygwiyemwisi John Malecela, na Cleopa David Msuya, wote walikuwa Makamu wa Kwanza wa Raisi.

..Utaratibu tulionao sasa hivi umekuja na Mfumo wa vyama vingi.

NB:

..Mwalimu Nyerere alipostaafu Waziri Mkuu alikuwa Salim Ahmed Salim. Hivyo Mwinyi alipokuwa Raisi automatically ilieleweka kwamba Salim Salim ataondoka ktk nafasi hiyo.
 
Nasikia amesema kuwa Wananchi tumeridhia makato ya Miamala? hivi yupo makini kweli huyo Mrembuaji?
Hiyo ni lugha nyepesi kaitumia(kuhamia Burundi ilikuwa lugha ngumu), kwamaana nyingine ni kwamba Tozo ipopalepale na hakuna wa kuwafanya kitu.
 
..Katiba ya chama kimoja ilielekeza kwamba Raisi wa muungano akitoka Znz, basi Waziri Mkuu atatokea Tanganyika na atakuwa Makamu wa Kwanza wa Raisi, na Raisi wa Znz atakuwa Makamu wa pili wa Raisi.

..Wakati [1985 t0 1995 ]Rais wa muungano akiwa Mzee Ali Hassan Mwinyi, Mawaziri wake wakuu ambao walikuwa ni Joseph Warioba, Cygwiyemwisi John Malecela, na Cleopa David Msuya, wote walikuwa Makamu wa Kwanza wa Raisi.

..Utaratibu tulionao sasa hivi umekuja na Mfumo wa vyama vingi.

NB:

..Mwalimu Nyerere alipostaafu Waziri Mkuu alikuwa Salim Ahmed Salim. Hivyo Mwinyi alipokuwa Raisi automatically ilieleweka kwamba Salim Salim ataondoka ktk nafasi hiyo.
Wazee ni hazina
 
Acheni kuwaonea washauri tatizo ni yeye mwenyewe
Hakuna binadamu aliye mkamilifu. Rais SSH alifanya makosa kwa kutoa kauli zisizo "sahihi" ktk interview yake na Salum Kikeke wa BBC.

Hilo siyo jambo geni kumtokea kiongozi yeyote yule. Kinachofanyika ktk mazingira kama hayo ni kiongozi mwenyewe, au wasaidizi wake, kujitokeza kuomba RADHI na kurekebisha makosa yaliyojitokeza.

Nashangaa kwanini mpaka sasa hivi hakuna mtu wa IKULU aliyejitokeza kurekebisha kauli alizotoa Rais. Ukimya huu wa Rais SSH, pamoja wasaidizi wake, unaweza kuleta hisia kwamba Rais hakukosea kibidamu, bali alifanya makusudi au alidhamiria kutoa majibu yale.

Zaidi ya kuharibu taswira ya Rais na kuporomosha heshima yake, hali hiyo inatoa mwanya kwa Rais kuitwa majina mabaya yenye kumvunjia heshima.

Hivi kweli Rais SSH ameridhika na majibu aliyotoa kwa BBC? Je, wasaidizi wake wanadhani Rais ametenda sawa, na kwa kukaa kimya wanamtendea haki Rais?

Nawasihi wasaidizi wa Rais wajitokeze kurekebisha mapungufu yaliyojitokeza, na kuwaomba RADHI wananchi.

cc Richard, Nguruvi3 , Pascal Mayalla
 
Back
Top Bottom