Wasaidizi wa Rais Samia warekebishe makosa aliyofanya katika mahojiano na BBC, vinginevyo ataonekana siyo muungwana

True
 
Kulikuwa na mapungufu gani ambayo wewe uliyaona?
 
Mimi sielewi kwa nini kimeachiwa chama chake kumtetea wakati alihojiwa kama Rais wa Tanzania. Walitakiwa wasaidizi wake ambao ni watumishi wa umma ndio watoe ufafanuzi. Hiyo ni kazi ya msemaji wa Ikulu na sio Katibu Mwenezi wa CCM.

Amandla...
 
Tatizo kubwa sio washauri wake, tuna tatizo kubwa sana kwenye idara yetu ya usalama wa taifa, TISS walitakiwa wasiruhusu hii interview iruke hewani maana jukumu lao la kwanza ni kulinda image ya rais kwa hiyo tuna tatizo kubwa kwenye idara yetu ya usalama wa taifa
 
Mbaya Zaid kazingukwa na majaliwa na Mpango ambao wote hawa uwezo mdogo
Tatizo sio mpango au majaliwa, tatizo kubwa kwenye taifa letu ni idara yetu ya usalama wa taifa wanatakiwa wamshauri rais na kulinda heshima ya rais ila DGIS aliyepo naye ni mbumbunbu kichwani Samia anatakiwa amtoe diwani haraka sana
 
Kwamba mama haupigi mwingi tena ? .....ni low IQ? Au vipi ?
 
Walivyo vilaza wanachofanya ni kuhalalalisha hayo makosa badala ya kuyarekebisha. Tuna ombwe kubwa sana la uongozi wa juu katika Taifa letu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…