Wasajili angalieni mihuri ya vyama kwenye fomu za wagombea Kuna mihuri ya vyama visivyosajiliwa

YEHODAYA

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2015
Posts
36,900
Reaction score
52,056
Kwenye fomu za wagombea Kuna sehemu za kugonga mihuri ya Chama Cha mgombea.

Mihuri mingine unakuta Ina jina la Chama ambacho hakipo.Mfano unakuta mhuri wa Chama unasomeka ACT wazalendo. Chama ambacho hakipo kwenye daftari la msajili wa vyama vya siasa.

Mhuri unatakiwa usomeke Alliance for Change and Transparency kifupi ACT.

Fomu yoyote yenye mhuri wenye jina ACT wazalendo ni batili .Rudieni kupitia fomu upya Kama Kuna mliowapitisha waondoeni
 
Km Ndio wamefanya makosa hayo bora tu waondoshwe

Km mambo madogo unakosea utawezaje kuongoza Wananchi
 
Acha ujinga na ukuda kaangalie kwenye Katiba ya Chama ambayo pia imesajiliwa kwa Msajili wa Vyama inasemaje. Ingekuwa kama unavyosema isingesajiliwa na kukubalika (Refer: Kama ilivyoidhinishwa na Mkutano Mkuu wa Taifa wa ACT-Wazalendo, Jumamosi Tarehe 28 Machi 2015Ukumbi wa Kadinali Rugambwa, Dar es Salaam)
Hata basi kama siyo mjinga sana ingia website ya Msajili wa Vyama vya Siasa na utafute orodha ya vyama vilivyosajiliwa
 
Kuna watu unaweza kuwajibu, lakini si sahihi kujibu kila mtu kwa sababu wengine si watu.
 
Acha ujinga na ukuda kaangalie kwenye Katiba ya Chama ambayo pia imesajiliwa kwa Msajili wa Vyama inasemaje. Ingekuwa kama unavyosema isingesajiliwa na kukubalika (Refer: Kama ilivyoidhinishwa na Mkutano Mkuu wa Taifa wa ACT-Wazalendo, Jumamosi Tarehe 28 Machi 2015Ukumbi wa Kadinali Rugambwa, Dar es Salaam)
Hata basi kama siyo mjinga sana ingia website ya Msajili wa Vyama vya Siasa na utafute orodha ya vyama vilivyosajiliwa
Katiba ya ACT ya 2015 kifungu Cha kwanza kinatamka wazi kabisa jina la Chama kuwa kitaitwa Alliance for CHange and Transparency kifupi ACT .

Hakuna mahali kwenye hicho kifungu kinapotamka ACT wazalendo Kama jina la chama
 
Back
Top Bottom