Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Kina Lusungo hawajajuta lolote. Wanajifanya kujuta lakini wana lengo la kurudi na kulazimisha maridhiano. Mbowe ameshindwa kuishi bila ma-deal. CHADEMA kama wana akili wasikubali bila masharti. Wawekwe pending kwa mwaka mmoja au miwili wakiweza ndiyo warudishwe tena kwa masharti maalum.Kijana Huyo Tayari amejitokeza mitandaoni akikiri hadharani kwamba uamuzi wa Chadema wa kususia uchaguzi wa kizushi wa oktoba 29 ulikuwa sahihi.
Taarifa zingine zinaeleza kwamba anayefuatia kuja kapiga goti hadharani ni Yerricko Nyerere ambaye inaelezwa kwamba huko Kigamboni aliambulia namba za vitatu vya mtoto
Wakirudi wabakie kama wapenzi watazamaji. Sio kuwa wanachama.Yericko ni bonge la mseng huyu hapaswi kusamehewa hata kwa msamaha wa magoti.
Yericko sio tu kwamba hafai kuwa kiongozi ila ameonyesha kuwa hana kabisa hata utu wa kuthamini maisha ya watu.Wakirudi wabakie kama wapenzi watazamaji. Sio kuwa wanachama.
Wasije anza kuleta taharuki.
Jamaa mwenyewe hana influence yoyote, ni ka-tapeli ka-nakojua kujipachika na wakubwa tu. Ila ulivyosema ni kweli, mtu kama huyu asirudishwe maisha.Yericko ni bonge la mseng huyu hapaswi kusamehewa hata kwa msamaha wa magoti.
Mkuu hawa watu ni wa kuogopa sana sana. Nasikia amesema eti alikuwa anataka uongozi (mimi siwezi kumsikiliza nisije pasua simu bure)ndiyo maana akahama. CHADEMA isiwarudishe kama inataka kuwa na amani. Vimelea vya usaliti haviishi mwilini. Kuna fununu kwamba Samia anataka kumpindua Lissu kwenye uenyekiti halafu waweke machawa wake ambao watakubali maridhiano (kitu ambacho naona wanajisumbua tu)James Mbowe kule mjini insta anajichekesha na kujicommentisha kwenye page ya Malisa raia wamemchambaaa! WaTZ wana gubuu jamani π
Halafu sijui kwanini mnafiki akishajua kazingua jambo la huwa kujichekesha.James Mbowe kule mjini insta anajichekesha na kujicommentisha kwenye page ya Malisa raia wamemchambaaa! WaTZ wana gubuu jamani π