Wasaliti waanza kujuta, James Mbowe awa wa kwanza

Wasaliti waanza kujuta, James Mbowe awa wa kwanza

Yericko sio tu kwamba hafai kuwa kiongozi ila ameonyesha kuwa hana kabisa hata utu wa kuthamini maisha ya watu.

Sasa watu wa aina hiyo ambao hawajali kitu kuhusu uhai wa mtu, wakipata power anakuwa ni ma-monster kuliko hawa tunapambana nao hivi sasa.
Word
 
Alinishangaza sana . Aliposema aliyeua maridhiano ni TL na kwambabowe ni Alpha na Omega na bila mbowe chama kingekufa alinishangaza na kunifanya nimdharau sana yerico
Vile vipeperushi vyake vya history 3 anavyoviita vitabu ndo vinamtia kiburi
 
Kijana Huyo Tayari amejitokeza mitandaoni akikiri hadharani kwamba uamuzi wa Chadema wa kususia uchaguzi wa kizushi wa oktoba 29 ulikuwa sahihi.

Taarifa zingine zinaeleza kwamba anayefuatia kuja kapiga goti hadharani ni Yerricko Nyerere ambaye inaelezwa kwamba huko Kigamboni aliambulia namba za vitatu vya mtoto
Anataka kurudi? Anawachota akili tu hakiuna asichokijua
 
Kuweni makini ni mbinu hiyo. Wanataka warudi Chadema waje wamalize kazi. Safari hii hawatafanya makosa.
 
UKISHAKUA MSALITI UTAENDELEA KUWA MSALITI DAIMA...once a coward you will remain a coward. forever.
Hata wasaliti waliotoka CDM wakaenda CCM bado sio wa kuwaamini.
Wakirudi CDM wasipewe cheo chochote wawe wanachama wa kawaida kabisa.

Mtu msaliti ama malaya wa kisiasa sio wa kumuamini.

Hata katika maisha mtu msaliti aliyesaliti chama chake ,aliyemsaliti familia yake ,aliyesaliti imani ya wananchi kwake ,aliyewasaliti wananchi ,ALIYE BREAK TRUST...ni mtu mbaya sana ..hata wewe unayempokea hashindwi kukuchoma kukuuza...SIYO WA KUMUAMINI KAMWE...msaliti ni mtu mbaya sana katika maisha.

watu kama TL ndio watu ambao wametambua kusudi la maisha yao hapa duniani...watu ambao wanaishi katika kusudi lao katika kile wanachokiamini ..sio watu wa kununuliwa nunuliwa kama MALAYA.
 
Baba yake aliulizwa kuhusu No Reform No Election akamwambia Mwandishi wa Habari 'unataka kunichoma?'.
 
Wote ni ma MAKU, huyo yericko ni kiazi kweli kweli
 
Kina Lusungo hawajajuta lolote. Wanajifanya kujuta lakini wana lengo la kurudi na kulazimisha maridhiano. Mbowe ameshindwa kuishi bila ma-deal. CHADEMA kama wana akili wasikubali bila masharti. Wawekwe pending kwa mwaka mmoja au miwili wakiweza ndiyo warudishwe tena kwa masharti maalum.
Kiufupi hakuna maridhiano

Na wahuni waliokataa maridhiano kabla ya uchaguzi!!

Tuendelee hv hv tuone Nani atashinda !!
 
Kina Lusungo hawajajuta lolote. Wanajifanya kujuta lakini wana lengo la kurudi na kulazimisha maridhiano. Mbowe ameshindwa kuishi bila ma-deal. CHADEMA kama wana akili wasikubali bila masharti. Wawekwe pending kwa mwaka mmoja au miwili wakiweza ndiyo warudishwe tena kwa masharti maalum.
Nyinyi pambanieni mlichowaahidi wanachama achana na hizi ngonjera za kike! Tunafuta pesa na tumetafuta muda mrefu nje ya CHADEMA!

Mngetumia huu muda vizuri kutekeleza yale mliyojinadi mtayaweza!!
 
Nyinyi pambanieni mlichowaahidi wanachama achana na hizi ngonjera za kike! Tunafuta pesa na tumetafuta muda mrefu nje ya CHADEMA!

Mngetumia huu muda vizuri kutekeleza yale mliyojinadi mtayaweza!!
😎😎Wazee wa ma-deal
 
wanaomba radhi li warudi CHADEMA kwa akzi maalum ambayo ni kuja kumuondoa lissu na Heche
 
Back
Top Bottom