Wasaliti waanza kujuta, James Mbowe awa wa kwanza

Kijana Huyo Tayari amejitokeza mitandaoni akikiri hadharani kwamba uamuzi wa Chadema wa kususia uchaguzi wa kizushi wa oktoba 29 ulikuwa sahihi.
 
Kupitia mitandao ya kijamii leo tarehe 8 Januari 2026, Mbowe amesema anatambua kuwa hatua yake imewaumiza wengi, hasa waliomlea kisiasa ndani ya Chadema, na hivyo kutumia nafasi hiyo kuomba radhi hadharani.

Mbowe amesema kuwa Chadema ni chama chenye nafasi ya kipekee katika maisha yake ya kisiasa na kwamba anaendelea kukiheshimu licha ya kuondoka kwake.
 
Kupitia mitandao ya kijamii leo tarehe 8 Januari 2026, Mbowe amesema anatambua kuwa hatua yake imewaumiza wengi, hasa waliomlea kisiasa ndani ya Chadema, na hivyo kutumia nafasi hiyo kuomba radhi hadharani.

Mbowe amesema kuwa Chadema ni chama chenye nafasi ya kipekee katika maisha yake ya kisiasa na kwamba anaendelea kukiheshimu licha ya kuondoka kwake.
 
Nakumbuka ila press yake ya kuhama CHADEMA akiwa na haka kakibaka Yericko Nyerere wakapewa na trip ya Zanzibar eti kwenda kuwaona wanachama wa Chaumma.

Hii project ya Abdul na Mchengerwa nchi ikipata ukombozi inabidi pesa walizotumia kuwapa hawa vibaka kuhadaa umma wa wanademokrasia wanazilipa.
 
Aisee ubwabwa hauwafikii ila kazi ya kuosha sufuria wanapewa wao, dah!!
 
muda ni mwalimu mzuri
 
MIpango iyo ya kuja kuvuruga
 
Loooh! Hawachoki na CDM!?
 
Freeman Mbowe ameondoka lini Chadema?

Amandla...
 
Wakefie mbele, walichagua pesa kuliko utu , hawa laana itawatafuna
 
Huyu sio wa kuamini kwa kipindi hichi
 
Mpuuzi huyo. Hao ndio walioamini cdm ni chama cha baba yake. Badala yake amejua ni kwa kiwango gani cdm ni imani. Apokelewe lakini kazi yake iwe ni kubeba briefcase za viongozi tu. Anajua kabisa cdm walicheza karata zao vizuri mo29 na wao ndio wamebeba imani ya wananchi.

Hawa walitegemea wakitoka cdm watafuatwa kama Maalim Seif huko Znz, sasa matarajio yao yamebuma, na ccm wamejua kabisa hawana msaada wowote, ndio anasoma upepo ili arudi cdm kurudisha usnitch.
 
James Mbowe kule mjini insta anajichekesha na kujicommentisha kwenye page ya Malisa raia wamemchambaaa! WaTZ wana gubuu jamani 😂
Mpuuzi huyo, alikuwa anajiaminisha cdm ni chama cha baba yake, wamepigwa chini wakazira. Sasa wamejikuta wametema big G kwa karanga za kuonjeshwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…