Wasaliti waanza kujuta, James Mbowe awa wa kwanza

Word
 
Alinishangaza sana . Aliposema aliyeua maridhiano ni TL na kwambabowe ni Alpha na Omega na bila mbowe chama kingekufa alinishangaza na kunifanya nimdharau sana yerico
Vile vipeperushi vyake vya history 3 anavyoviita vitabu ndo vinamtia kiburi
 
Anataka kurudi? Anawachota akili tu hakiuna asichokijua
 
Kuweni makini ni mbinu hiyo. Wanataka warudi Chadema waje wamalize kazi. Safari hii hawatafanya makosa.
 
UKISHAKUA MSALITI UTAENDELEA KUWA MSALITI DAIMA...once a coward you will remain a coward. forever.
Hata wasaliti waliotoka CDM wakaenda CCM bado sio wa kuwaamini.
Wakirudi CDM wasipewe cheo chochote wawe wanachama wa kawaida kabisa.

Mtu msaliti ama malaya wa kisiasa sio wa kumuamini.

Hata katika maisha mtu msaliti aliyesaliti chama chake ,aliyemsaliti familia yake ,aliyesaliti imani ya wananchi kwake ,aliyewasaliti wananchi ,ALIYE BREAK TRUST...ni mtu mbaya sana ..hata wewe unayempokea hashindwi kukuchoma kukuuza...SIYO WA KUMUAMINI KAMWE...msaliti ni mtu mbaya sana katika maisha.

watu kama TL ndio watu ambao wametambua kusudi la maisha yao hapa duniani...watu ambao wanaishi katika kusudi lao katika kile wanachokiamini ..sio watu wa kununuliwa nunuliwa kama MALAYA.
 
Baba yake aliulizwa kuhusu No Reform No Election akamwambia Mwandishi wa Habari 'unataka kunichoma?'.
 
Wote ni ma MAKU, huyo yericko ni kiazi kweli kweli
 
Kiufupi hakuna maridhiano

Na wahuni waliokataa maridhiano kabla ya uchaguzi!!

Tuendelee hv hv tuone Nani atashinda !!
 
Nyinyi pambanieni mlichowaahidi wanachama achana na hizi ngonjera za kike! Tunafuta pesa na tumetafuta muda mrefu nje ya CHADEMA!

Mngetumia huu muda vizuri kutekeleza yale mliyojinadi mtayaweza!!
 
Nyinyi pambanieni mlichowaahidi wanachama achana na hizi ngonjera za kike! Tunafuta pesa na tumetafuta muda mrefu nje ya CHADEMA!

Mngetumia huu muda vizuri kutekeleza yale mliyojinadi mtayaweza!!
😎😎Wazee wa ma-deal
 
wanaomba radhi li warudi CHADEMA kwa akzi maalum ambayo ni kuja kumuondoa lissu na Heche
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…