Wasaliti waanza kujuta, James Mbowe awa wa kwanza

Msaliti ni mtu ambaye kwanza kabisa AMESJISALITI MWENYEWE pili amewasaliti JAMII YAKE+WANANCHI WATU WOTE WALIOWEKA IMANI/MATUMAINI YAO KWAKE


ni mtu ambaye ameweza kusaliti MAONO NA MTAZAMO WAKE mwenyewe/imani yake mwenyewe UKWELI WA MOYO WAKE mwenyewe

kwa sababu ya vipande thelathini vya fedha,YUDA UNAMSALITI mwana wa adamu kwa vipande thelathini vya fedha,

UNAUZA UTU WAKO KWA VIPANDE VYA FEDHA,na IMANI YA WANANCHI WAKIYOKUAMINI NA KUIWEKA KWAKO unaiuza imani ya watu wanaokuamini na kukuheshimu kwa vipande vya fedha.

MSALITI YEYOTE HANA AKILI TIMAMU

unafananishaje heshima na utu wako kwa pesa.

ndio maana utakuta msaliti akihama kutoka chadema akahamia ccm,..akifika huko badala aseme cccm oyeee...anasema chadema oyee

kwa sababu MOYO wake upo chadema,njaa/tumbo ..lipo ccm
 
yani unasaliti imani halafu unaenda kuwa CHAWA kama lucas mwashambwa..bado unatarajia jamii uliyoisaliti ikuheshimu,..hata waliokununua watakuheshimi vipi mtu anayejiuza toka lini akaheshimika...(malaya)
 

Attachments

  • images - 2025-03-30T152501.267.jpeg
    10 KB · Views: 11
yani unasaliti imani halafu unaenda kuwa CHAWA kama lucas mwashambwa..bado unatarajia jamii uliyoisaliti ikuheshimu,..hata waliokununua watakuheshimi vipi mtu anayejiuza toka lini akaheshimika...(malaya)
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…