Wasamaria:Fahamu chanzo chao na kwanini walikuwa hawachangamani na Wayahudi!


Aibu iko wapi hapo?, kila mtu na mtazamo wake na mapenzi yake ya nini cha kusoma na kufuata, na Duniani hakuna kitu kizuri kwa kila mtu na pia hakuna kibaya kwa kila mtu,
 
Aibu iko wapi hapo?, kila mtu na mtazamo wake na mapenzi yake ya nini cha kusoma na kufuata, na Duniani hakuna kitu kizuri kwa kila mtu na pia hakuna kibaya kwa kila mtu,
Aibu ni kwa sababu kama hujui historia yako, hata mtazamo wako huwezi kuujua.

Utapandikiziwa mtazamo wa mtu na kufikiri huo ndio mtazamo wako.

George Santayana said those who do not remember history are condemned to repeat it.

By not knowing our own history, we are repeating slavery, of the more subtle sense, of the mind.

Ukiacha kusoma historia yako na kujikita kwenye historia ya Wayahudi ndiyo mwanzo wa kuamini Wayahudi ni taifa teule na sisi ni wasindikizaji tu hapa duniani.

Watu wanaweza kukutajia vizazi vya Wayahudi 40 kurudi nyuma, lakini ukiwauliza jina la baba yake baba wa bibi mzaa mama wana draw a blank!

Utumwa wa kimawazo.
 
Watumwa wa kiyahudi waliojipa jina israel,waliofanikiwa kutoka misri,waliwaua waafrika waliokuwa natives wa mashariki ya kati,baadhi walibaki ndio kina simeon mkirene,

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Je Nanaimo sio ndugu ya muisrael?maana alikuwa uzao wa noah

Post sent using JamiiForums mobile app
 

Mbona unageneralize?, nani asiyejua historia yake?, labda wewe, mimi kama sio Mhehe kwa nini nijue historia ya Mkwawa? Kujua kwangu History ya Mkwawa kuna tofauti gani na kujua History ya Wayahudi?, kama Mkwawa sio kabila yangu na myahudi pia sio kabila yangu, so nachagua wapi kwa kujua historia kadiri ya maamuzi yangu sio yako
 
Mpaka hapo ushaonyesha jinsi usivyojua historia yako na jinsi gani haya makabila ya "Muhehe" "Mmakonde" "Msukuma", "Mgoni", "Mzulu" kati ya Wabantu kwa mfano, yalivyo very artificial na very later addition after the migration of the Bantu people.

Ni kama unamkataa mdogo wako mliozaliwa baba mmoja mama mmoja kwenye familia yenu, halafu unaenda kumkumbatia Myahudi ambaye hata hamna uhusiano wa karibu.

Ndiyo maana nikasema huu ni utumwa wa mawazo.

Bantu Migration

 

Kaka usiwe mtu wa akulazimisha mambo, kila mtu ana choice yake ya kuamua cha kufuata na cha kukiamini, wewe huna mamlaka yoyote ya kuniamulia cha kuamini au kufuata sijui mdogo wako, sijui mbantu mwenzio, kwangu mimi nikishajua historia ya watu wangu ndio mwisho, so kujua watu wengine aidha awe mbantu, muhindi, myahudi nk ni chaguo langu na wala sio lako, kwa nini unalazimisha mtu kama ni mbantu Mgogo, basi amjue Kimweli, Mkwawa nk kwa nini? Yeye kama Mgongo Mazengo anamtosha sana, ukitaka amjue na Mbantu mwingine ambaye sio Mgogo basi pia ana uhuru wa kumjua Myahudi pia

Kitu cha ajabu unachokifanya ni hichi, yaani unakataa historia ya Wayahudi iliyoandikwa na Wazungu unaikubali historia ya Wabantu iliyoandikwa na Wazungu haohao, hivi kweli kwa akiki zako unaamini hiyo ramani ni ya kweli?
 
Huwezi kusema una choice wakati huna information.

Unajionyesha hujui kitu kwa kusema historia ya Wayahudi imeandikwa na Wazungu.

Wakati Wazungu wanahangaika kwenye mapango ya Ulaya hawajui hata kuandika, Wayahudi walishaanza kundika historia yao.
 
Umezingua

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Huwezi kusema una choice wakati huna information.

Unajionyesha hujui kitu kwa kusema historia ya Wayahudi imeandikwa na Wazungu.

Wakati Wazungu wanahangaika kwenye mapango ya Ulaya hawajui hata kuandika, Wayahudi walishaanza kundika historia yao.

Wazungu gani waliokuwa kwenye Mapango?, Wareno, wagiriki?, Warumi? Au wewe mzungu ni Mwingereza tu? Hao Wayahudi walitawaliwa na Wazungu wa kila aina leo useme wazungu walikuwa kwenye mapango!
 
Wazungu gani waliokuwa kwenye Mapango?, Wareno, wagiriki?, Warumi? Au wewe mzungu ni Mwingereza tu? Hao Wayahudi walitawaliwa na Wazungu wa kila aina leo useme wazungu walikuwa kwenye mapango!
Unaongelea historia ya Wayahudi iliyoandikwa na Wazungu gani mwaka gani? Labda tuanzie hapo.

Maana unaongelea Wazungu kwa kutaja nchi zilizoanza juzi hapa mpaka naona unataka kushindana kuogelea na mimi katika dimbwi la sentimeta tano.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…