Wasanii 10 wanaoongoza kwa pesa nchini India

Chuma kile kilipikwa hapo na kina migomba pia van damme ilikuwa mitaa yangu Washkaji kwa chat longtime hata dude ni product ya jamaa huyo
yaah!nakumbuka na dude nae pia mie lakin siku hz siangalii kabisa bongo movie hata DKK 5 labda bahati mbaya tu za marehemu kanumba hapa nasikiliza nyimbo za kihindi habari sipatiii!!

Wahindi wameniteka akili
 
yaah!nakumbuka na dude nae pia mie lakin siku hz siangalii kabisa bongo movie hata DKK 5 labda bahati mbaya tu za marehemu kanumba hapa nasikiliza nyimbo za kihindi habari sipatiii!!

Wahindi wameniteka akili
Mimi sipo kabisa huko ila naikumbuka miaka hiyo hawa jamaa huwa hawavai husika so ukiangalia kazi zao zinachosha mapema.
 
hapa Leo TBC FM wameweka Hindi songs balaa nakesha Leo jamani!
Sa hv kitu cha kal ho nahoo
 
Kuuza kwa movie ama kutokuuza siyo hasara kwa actor sana kama amelipwa hela yake siyo mbaya unajuaje kwenye hiyo hela malipo yake yalikuwa zaidi ya $20m?
umesoma vizuri ukanielewa?..Unafahamu maana ya neno '' I think''?...Unafikiria nini kuhusu ''viashiria''?....Unafahamu ya baadhi ya Holywood A-Listers package zao ili acheze movie na after the box office?...Mapenzi ya Movie za kihindi yasikupofushe na uhalisia ukaignore baadhi ya facts..
 

wapenzi wa movie za kihindi...tafuteni hii movie aisee.....mimi binafsi hii nyimbo uwa inaniliza sana imeimbwa kwa hisia sana.
 
hahahhaaaaa!!llooh!kukesha ni wito!!
Maana ķauli yako ilikuwa inahamasisha kweli kumbe watu wangeingia chaka .Wale wasichana wa zamani wa kihindi ndio walikuwa wananivutia kuanzia mama lao hema Malin ukija kwa zenaat aman huku rekhash roshan pale jaya preda meena hapo nilikuwa natulia hawa wa siku hizi simjui hata mmoja.
 
hhhaaaha!nshazeeka uwezo wa kukesh sina!!!
 

Shah rukh khan anampita Amitabh kwa utajiri hmmm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…