wanjera
Member
- Jul 1, 2016
- 72
- 25
Sholay kwa Mara ya kwanza naiona pale Dharmendra anakufa mchozi ulintoka!Dash Amita anafunu shilingi anakuta ina upande mmoja tu!
Sholay kwa wahindi ni lifetime muvie ile
Sholay movie of the century ile
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sholay kwa Mara ya kwanza naiona pale Dharmendra anakufa mchozi ulintoka!Dash Amita anafunu shilingi anakuta ina upande mmoja tu!
Sholay kwa wahindi ni lifetime muvie ile
Unautaka huo uzee ila ukifika utaukataahhhaaaha!nshazeeka uwezo wa kukesh sina!!!
Kwa sasa sharuki yuko juu sana, ana fans wengi na anauza muvie nyingi sana. Unakuta ufunguzi wa movie zake nyingi unafanyika marekani.Shah rukh khan anampita Amitabh kwa utajiri hmmm
hahaaaa!!siukatai!!naupenda tu!Unautaka huo uzee ila ukifika utaukataa
Wacha mchezo unajiangalia penye kioo mikunjo si mikunjo makunyanzi ya kumwaga unaanza kusema enzi zangu mimi ndo basi tena waqt umekutupa mkono hapo utakuwa na haki ya kujiita mzee.hahaaaa!!siukatai!!naupenda tu!
hhhhhhaaaaaahhhaaa!!!Wacha mchezo unajiangalia penye kioo mikunjo si mikunjo makunyanzi ya kumwaga unaanza kusema enzi zangu mimi ndo basi tena waqt umekutupa mkono hapo utakuwa na haki ya kujiita mzee.
hhhhhhaaaaaahhhaaa!!!Wacha mchezo unajiangalia penye kioo mikunjo si mikunjo makunyanzi ya kumwaga unaanza kusema enzi zangu mimi ndo basi tena waqt umekutupa mkono hapo utakuwa na haki ya kujiita mzee.
Hongera bibi nani kweli napenda kukusahau!hhhhhhaaaaaahhhaaa!!!
nakua nshachelewa tena naitwa bibi!
hahahaaaa!!!bibi geniveros!!!Hongera bibi nani kweli napenda kukusahau!
Ubibi wa mwendokasi huu sawa.hahahaaaa!!!bibi geniveros!!!
hhahahaaaaaaaaaaaahaa!!!Ubibi wa mwendokasi huu sawa.
Wacha niwahurumie hao wajukuu maana huyo bibi yao khatarihhahahaaaaaaaaaaaahaa!!!
kidigitali zaidi hiyo!!
hatari ya nn?!!Wacha niwahurumie hao wajukuu maana huyo bibi yao khatari
Sasa bibi wa mwendokasi asiwe khatari?hawataweza kumdanganya kitu chochote atakuwa anawaangalia tu na kuwachora.hatari ya nn?!!
hhhhaaaahhha!!bb anawajua wasanii wote wa kihindi!na umbea wote wa mjini!!Sasa bibi wa mwendokasi asiwe khatari?hawataweza kumdanganya kitu chochote atakuwa anawaangalia tu na kuwachora.
Kupenda nyimbo na vitu vingine ni mapenzi ya mtu ila ukiwa mjanja una enjoy sana mambo ya mjini usipoyajua unakuwa unapungukiwa kitu flan so sio jambo baya kiukweli.hhhhaaaahhha!!bb anawajua wasanii wote wa kihindi!na umbea wote wa mjini!!
starehe yangu mi TV,simu na mziki penda sana miziki!Kupenda nyimbo na vitu vingine ni mapenzi ya mtu ila ukiwa mjanja una enjoy sana mambo ya mjini usipoyajua unakuwa unapungukiwa kitu flan so sio jambo baya kiukweli.
Mimi vitabu na simu ndio zangu.starehe yangu mi TV,simu na mziki penda sana miziki!
vitabu mi napenda Ila si sana!Mimi vitabu na simu ndio zangu.
Yaah! Novels ndio ugonjwa wangu kifupi napenda kusomavitabu mi napenda Ila si sana!
novels ndo hua nasomaga kidogo