hongera sana watu km nyie Mnakuwaga mna akili sana nyie!Yaah! Novels ndio ugonjwa wangu kifupi napenda kusoma
Hapana kawaida kujifunza inawezekana ukawa upo vizuri kuliko unavyodhani ni kwa sababu umejizoeahongera sana watu km nyie Mnakuwaga mna akili sana nyie!
yaweza kua!Hapana kawaida kujifunza inawezekana ukawa upo vizuri kuliko unavyodhani ni kwa sababu umejizoea
unaposoma vitabu huongeza maarifa na upeo pia!Hapana kawaida kujifunza inawezekana ukawa upo vizuri kuliko unavyodhani ni kwa sababu umejizoea
Mbona zipo na me ni mfuatiliaji mzuri tuhahaaa!tutaenjoy balaa!
AZAM hawana Zee TV,wana Colors,Star plus,Star gold na nk.Ila enzi hzo tuna DSTV kihome home nlikua naangaliaga sana tamthilia zao!
PK-India highest grossing film of all time (US$120 million)................
Sequal yoyote ya Batman box office ikifanya hivyo ni flop....Anyway,I think most of those actors' wealthy is overrated.