Guasa Ambonii
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 8,545
- 10,283
Ilikuwa waqt mzuri sana akina lekhash roshan na mzee sanjiv kumar penye sholay ilikuwa khatari sana na jinsi mashuka yale na sauti kubwa yaani ilikuwa burdaaaaan.yes yes enzi zile tulikua tunawaita chale chale km Johnny liver!Kina Vinod Khanna na Zarina Wahab ameolewa na kina Aditya Panchori!mtoto wao alikutwa na kashfa ya kumuua jia khan wa kwenye movie ya Amir Khan hapo juu imetajwa dogo anaitwa Suraj Pancholi