Wasanii 10 wanaoongoza kwa pesa nchini India

Wasanii 10 wanaoongoza kwa pesa nchini India

huyu bwana yeye ananikoshaga kwenye picha chafu, kama kugongana wanagongana kweli hafichifichi kama wahindi wengine, ila srk ndo the best to me
yaah!yaani yule kaka kwenye romance anaromancika kweli kweli harembi!mi wahindi bwana nawapenda mnoo!
Dah shah rukh khan ni the best aisee
Yaani aigize comedy,action, poote ana fit
Movie yake ambayo sipendi kuiangalia ni kal ho na ho dah inahuzunisha mno
King Khan kwenye kalhonaho na mohabattein!daah zinanisikitisha kweli
Movie za emran hashmi lazma kuwe na Scene ya kufanya mapenzi[emoji23][emoji23]
hahaaahhaaa!kumbe tuko wengi tunamkubali!
 
Lllooh mi mgonjwa mpaka naumwa kwangu ni Chanel za wahindi tu!!
Hawa wa zama hizi au hata wa miaka ile unashikwa mkono na uncle kila jumamosi unaenda kama ni new chox au drive inn kisha asubuhi juma pili nikaamka naenda kwa bibi najikumbusha nilivyomuona Amitah mkubwa penye lile shuka basi inakuwa kshaaa kshaaa watoto wa mama mdogo walichezea kichapo sana mpaka bibi akaja kusema kwa mzee nikawa nabaniwa kwenda senema.
 
hahaaa!tutaenjoy balaa!
AZAM hawana Zee TV,wana Colors,Star plus,Star gold na nk.Ila enzi hzo tuna DSTV kihome home nlikua naangaliaga sana tamthilia zao!
Aah basi hizo za AZAM zinanipita mwee. Wahindi washaniteka zamani, home hadi wananitoaga nduki, otherwise hawaangalii vipindi vingine lol
 
yaah!yaani yule kaka kwenye romance anaromancika kweli kweli harembi!mi wahindi bwana nawapenda mnoo!

King Khan kwenye kalhonaho na mohabattein!daah zinanisikitisha kweli

hahaaahhaaa!kumbe tuko wengi tunamkubali!
wahindi mafundi aisee, ushaiona raaz 3 dadaake
 
Hawa wa zama hizi au hata wa miaka ile unashikwa mkono na uncle kila jumamosi unaenda kama ni new chox au drive inn kisha asubuhi juma pili nikaamka naenda kwa bibi najikumbusha nilivyomuona Amitah mkubwa penye lile shuka basi inakuwa kshaaa kshaaa watoto wa mama mdogo walichezea kichapo sana mpaka bibi akaja kusema kwa mzee nikawa nabaniwa kwenda senema.
Hahhaaaaaahhaa!Enzi zile kulikua na Dharmendra,Shatugansia,Amitabh Batchan,Sanjay Duty!Jack Shroff!
Wamama Kina Banurekha,Hema Malini na wametikisika sana hawa!
 
Aah basi hizo za AZAM zinanipita mwee. Wahindi washaniteka zamani, home hadi wananitoaga nduki, otherwise hawaangalii vipindi vingine mbona lol
Dah!Nakuonea donge kweli maana Zee nawajua hao wako vzr sana
Mi home wananijua yaani nkrudi ni wahindi mwanzo mwisho haina mjadala hyoo!
 
Hahhaaaaaahhaa!Enzi zile kulikua na Dharmendra,Shatugansia,Amitabh Batchan,Sanjay Duty!Jack Shroff!
Wamama Kina Banurekha,Hema Malini na wametikisika sana hawa!
Yaah zeenat aman kina rena Roy bila kumsahau plan na jagdip huyu alikuwa anachekesha sana yeye na asiran walikuwa machale sana
 
Dah!Nakuonea donge kweli maana Zee nawajua hao wako vzr sana
Mi home wananijua yaani nkrudi ni wahindi mwanzo mwisho haina mjadala hyoo!
Teh zee ndo habari yake. Yani ikifika tu saa 1 ile natamani asiwepo mtu wa kunibughudhi, maana ni bandika bandua.
 
Yaah zeenat aman kina rena Roy bila kumsahau plan na jagdip huyu alikuwa anachekesha sana yeye na asiran walikuwa machale sana
yes yes enzi zile tulikua tunawaita chale chale km Johnny liver!Kina Vinod Khanna na Zarina Wahab ameolewa na kina Aditya Panchori!mtoto wao alikutwa na kashfa ya kumuua jia khan wa kwenye movie ya Amir Khan hapo juu imetajwa dogo anaitwa Suraj Pancholi
 
Hao wenye majina ya khan ni ndugu?My name is khan huwa inaniliza sana
 
Mimi mgonjwa wa Korean...ukitaka nikupende nipatie tu mambo ya Kikorea.
Acha kabisa.
Dash!mi wakorea mpk nipate company nimeangalia blood,crime squad na zingine za jumong,iris na SCandal na high school love!
 
Hahhaaaaaahhaa!Enzi zile kulikua na Dharmendra,Shatugansia,Amitabh Batchan,Sanjay Duty!Jack Shroff!
Wamama Kina Banurekha,Hema Malini na wametikisika sana hawa!
[emoji23][emoji23][emoji23]jack shroff hivi ile movie yuko na mbwa na nyoka inaitwaje
 
Hao wenye majina ya khan ni ndugu?My name is khan huwa inaniliza sana
my name is khan nilichelewa kuijua, siku hiyo naangalia tuzo shahrukh ndo anapewa tuzo filamu bora 2010 ikabidi nikaitafute, dah huwezi amini machozi yalinitoka pale alipofukuzwa na yule demu, huyu jamaa fundi aisee
 
Back
Top Bottom