Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,378
- 56,047
Emraan Hashim nae yuko vizuri sana mi nampenda maana bonge la brotherman!!SRK a.k.a fundi, my name is khan ndo filamu bora kuwahi kuitazama ikifuatiwa na raaz 3 ya emran hashmi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Emraan Hashim nae yuko vizuri sana mi nampenda maana bonge la brotherman!!SRK a.k.a fundi, my name is khan ndo filamu bora kuwahi kuitazama ikifuatiwa na raaz 3 ya emran hashmi
huyu bwana yeye ananikoshaga kwenye picha chafu, kama kugongana wanagongana kweli hafichifichi kama wahindi wengine, ila srk ndo the best to meEmraan Hashim nae yuko vizuri sana mi nampenda maana bonge la brotherman!!
Movie za emran hashmi lazma kuwe na Scene ya kufanya mapenzi[emoji23][emoji23]Emraan Hashim nae yuko vizuri sana mi nampenda maana bonge la brotherman!!
yaah!yaani yule kaka kwenye romance anaromancika kweli kweli harembi!mi wahindi bwana nawapenda mnoo!huyu bwana yeye ananikoshaga kwenye picha chafu, kama kugongana wanagongana kweli hafichifichi kama wahindi wengine, ila srk ndo the best to me
King Khan kwenye kalhonaho na mohabattein!daah zinanisikitisha kweliDah shah rukh khan ni the best aisee
Yaani aigize comedy,action, poote ana fit
Movie yake ambayo sipendi kuiangalia ni kal ho na ho dah inahuzunisha mno
hahaaahhaaa!kumbe tuko wengi tunamkubali!Movie za emran hashmi lazma kuwe na Scene ya kufanya mapenzi[emoji23][emoji23]
Hawa wa zama hizi au hata wa miaka ile unashikwa mkono na uncle kila jumamosi unaenda kama ni new chox au drive inn kisha asubuhi juma pili nikaamka naenda kwa bibi najikumbusha nilivyomuona Amitah mkubwa penye lile shuka basi inakuwa kshaaa kshaaa watoto wa mama mdogo walichezea kichapo sana mpaka bibi akaja kusema kwa mzee nikawa nabaniwa kwenda senema.Lllooh mi mgonjwa mpaka naumwa kwangu ni Chanel za wahindi tu!!
Aah basi hizo za AZAM zinanipita mwee. Wahindi washaniteka zamani, home hadi wananitoaga nduki, otherwise hawaangalii vipindi vingine lolhahaaa!tutaenjoy balaa!
AZAM hawana Zee TV,wana Colors,Star plus,Star gold na nk.Ila enzi hzo tuna DSTV kihome home nlikua naangaliaga sana tamthilia zao!
wahindi mafundi aisee, ushaiona raaz 3 dadaakeyaah!yaani yule kaka kwenye romance anaromancika kweli kweli harembi!mi wahindi bwana nawapenda mnoo!
King Khan kwenye kalhonaho na mohabattein!daah zinanisikitisha kweli
hahaaahhaaa!kumbe tuko wengi tunamkubali!
Hahhaaaaaahhaa!Enzi zile kulikua na Dharmendra,Shatugansia,Amitabh Batchan,Sanjay Duty!Jack Shroff!Hawa wa zama hizi au hata wa miaka ile unashikwa mkono na uncle kila jumamosi unaenda kama ni new chox au drive inn kisha asubuhi juma pili nikaamka naenda kwa bibi najikumbusha nilivyomuona Amitah mkubwa penye lile shuka basi inakuwa kshaaa kshaaa watoto wa mama mdogo walichezea kichapo sana mpaka bibi akaja kusema kwa mzee nikawa nabaniwa kwenda senema.
Dah!Nakuonea donge kweli maana Zee nawajua hao wako vzr sanaAah basi hizo za AZAM zinanipita mwee. Wahindi washaniteka zamani, home hadi wananitoaga nduki, otherwise hawaangalii vipindi vingine mbona lol
Yaah zeenat aman kina rena Roy bila kumsahau plan na jagdip huyu alikuwa anachekesha sana yeye na asiran walikuwa machale sanaHahhaaaaaahhaa!Enzi zile kulikua na Dharmendra,Shatugansia,Amitabh Batchan,Sanjay Duty!Jack Shroff!
Wamama Kina Banurekha,Hema Malini na wametikisika sana hawa!
Teh zee ndo habari yake. Yani ikifika tu saa 1 ile natamani asiwepo mtu wa kunibughudhi, maana ni bandika bandua.Dah!Nakuonea donge kweli maana Zee nawajua hao wako vzr sana
Mi home wananijua yaani nkrudi ni wahindi mwanzo mwisho haina mjadala hyoo!
Mimi mgonjwa wa Korean...ukitaka nikupende nipatie tu mambo ya Kikorea.Lllooh mi mgonjwa mpaka naumwa kwangu ni Chanel za wahindi tu!!
bila kumsahau johnny leverYaah zeenat aman kina rena Roy bila kumsahau plan na jagdip huyu alikuwa anachekesha sana yeye na asiran walikuwa machale sana
yes yes enzi zile tulikua tunawaita chale chale km Johnny liver!Kina Vinod Khanna na Zarina Wahab ameolewa na kina Aditya Panchori!mtoto wao alikutwa na kashfa ya kumuua jia khan wa kwenye movie ya Amir Khan hapo juu imetajwa dogo anaitwa Suraj PancholiYaah zeenat aman kina rena Roy bila kumsahau plan na jagdip huyu alikuwa anachekesha sana yeye na asiran walikuwa machale sana
hao zee walivyo washenzi wanakuandika next tezz, hapo ni shida ndugu hakulalikiTeh zee ndo habari yake. Yani ikifika tu saa 1 ile natamani asiwepo mtu wa kunibughudhi, maana ni bandika bandua.
Dash!mi wakorea mpk nipate company nimeangalia blood,crime squad na zingine za jumong,iris na SCandal na high school love!Mimi mgonjwa wa Korean...ukitaka nikupende nipatie tu mambo ya Kikorea.
Acha kabisa.
[emoji23][emoji23][emoji23]jack shroff hivi ile movie yuko na mbwa na nyoka inaitwajeHahhaaaaaahhaa!Enzi zile kulikua na Dharmendra,Shatugansia,Amitabh Batchan,Sanjay Duty!Jack Shroff!
Wamama Kina Banurekha,Hema Malini na wametikisika sana hawa!
my name is khan nilichelewa kuijua, siku hiyo naangalia tuzo shahrukh ndo anapewa tuzo filamu bora 2010 ikabidi nikaitafute, dah huwezi amini machozi yalinitoka pale alipofukuzwa na yule demu, huyu jamaa fundi aiseeHao wenye majina ya khan ni ndugu?My name is khan huwa inaniliza sana