Guasa Ambonii
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 8,545
- 10,283
Ilikuwa waqt mzuri sana akina lekhash roshan na mzee sanjiv kumar penye sholay ilikuwa khatari sana na jinsi mashuka yale na sauti kubwa yaani ilikuwa burdaaaaan.yes yes enzi zile tulikua tunawaita chale chale km Johnny liver!Kina Vinod Khanna na Zarina Wahab ameolewa na kina Aditya Panchori!mtoto wao alikutwa na kashfa ya kumuua jia khan wa kwenye movie ya Amir Khan hapo juu imetajwa dogo anaitwa Suraj Pancholi
hapana tofauti kabisa Ila Mara hao wengi sio wahindu in waislamu kwa kule India kuna Salmaan Kha,Shah rukh khan,arbaaz khan,Zayed Khan,Saif Ali Khan,Amir Khan etcmy name is khan nilichelewa kuijua, siku hiyo naangalia tuzo shahrukh ndo anapewa tuzo filamu bora 2010 ikabidi nikaitafute, dah huwezi amini machozi yalinitoka pale alipofukuzwa na yule demu, huyu jamaa fundi aisee
Hewalllah mambo yalikuwa matamu sana waqt umekwenda sana ilikuwa ndio mitoko hiyo weekend au siku za sikukuu kupata tiketi lazima uwe na wababe vinginevyo unainunua kwa mwendo wa kuruka.bila kumsahau johnny lever
hope ulikuwa unamjibu Honey Faithhapana tofauti kabisa Ila Mara hao wengi sio wahindu in waislamu kwa kule India kuna Salmaan Kha,Shah rukh khan,arbaaz khan,Zayed Khan,Saif Ali Khan,Amir Khan etc
km sikosei inaitwa Teri mehrebatain si unajua kihindi!![emoji23][emoji23][emoji23]jack shroff hivi ile movie yuko na mbwa na nyoka inaitwaje
Sholay kwa Mara ya kwanza naiona pale Dharmendra anakufa mchozi ulintoka!Dash Amita anafunu shilingi anakuta ina upande mmoja tu!Ilikuwa waqt mzuri sana akina lekhash roshan na mzee sanjiv kumar penye sholay ilikuwa khatari sana na jinsi mashuka yale na sauti kubwa yaani ilikuwa burdaaaaan.
Kipande kilichonisikitisha ni pale walipokuwa wanamlaumu mzee sanjiv kwanini hakuwapa bunduki na ilikuwa mita chache kutoka alipo? Ndipo alipowapa hadithi yake na kuvua blanket akiwa hana mikono yote ilikatwa na amjad khan au gabbar Singh kile kipande kilikuwa kinaumiza kijiji kizima kilipatwa na simanzi.Sholay kwa Mara ya kwanza naiona pale Dharmendra anakufa mchozi ulintoka!Dash Amita anafunu shilingi anakuta ina upande mmoja tu!
Sholay kwa wahindi ni lifetime muvie ile
yaani!!na yule Dada mjane aliyeachwa na mmewe!Sholay nzuri sana!Kipande kilichonisikitisha ni pale walipokuwa wanamlaumu mzee sanjiv kwanini hakuwapa bunduki na ilikuwa mita chache kutoka alipo? Ndipo alipowapa hadithi yake na kuvua blanket akiwa hana mikono yote ilikatwa na amjad khan au gabbar Singh kile kipande kilikuwa kinaumiza kijiji kizima kilipatwa na simanzi.
yes nlikua namjibu yyhope ulikuwa unamjibu Honey Faith
Hao wenye majina ya khan ni ndugu?My name is khan huwa inaniliza sana
Mmh yani wanajua kututeka akili, tutafanyaje sasa.hao zee walivyo washenzi wanakuandika next tezz, hapo ni shida ndugu hakulaliki
kuna moja inaitwa ghajini ya aamir khan, ukiipata muda icheki dadaake hutojutiaMmh yani wanajua kututeka akili, tutafanyaje sasa.
Inaandikwa "Teri meherbaniyan"km sikosei inaitwa Teri mehrebatain si unajua kihindi!!
Wale tumbili awana kitu apeche aloloShahrukh Khan hana mpinzani.
Jamani huyu baba nampenda mnooo!
Wapi Sunil Shety?Sun Deo?
Mimi sio mfuatiliaji wa movie za kihindi sana.
Ukipata wasaa tuandalie list ya Wakorea mkuu...
Asante.
Sio ile aamir khan alikuwa anapoteza memory?kuna moja inaitwa ghajini ya aamir khan, ukiipata muda icheki dadaake hutojutia
Acha masikhara mkuu.Wale tumbili awana kitu apeche alolo
KrishiTeh binamu tukae tu nyumba moja, unafatilia tamthilia zao zeeworld?
He he he he amazing in Tuntun's voice. Unaifatilia? ?Krishi
[emoji1] [emoji1] haha 4 real ww nimpenz sana wa hao watu and i respect that [emoji6] [emoji6] i wsh ningekuunganisha na rafk yng 1 yan huyo akilala akiamka anawaza wakorea 2 noma. WanajuaAcha masikhara mkuu.
Tatizo kila mtu ana taste yake...
Tukubaliane kutofautiana [emoji12]
Period.