aamir ni fundi ktk mauzo, ktk tano bora anazo tatu, anaongoza yeye kwa pk, ya pili yake tena dhoom 3, ya tatu ya srk chennai, ya nne 3 idiotshaha sunil shetty wa kitambo sanaa...
habari ya mjini Ni salman na amir khan ambao wanaongoza Kw Blockbusters kule Bollywood
Kama mie aisee napenda sana movie za kihindi siku hizi .....umkute Akshay Kumar, Salman Khan na Shahruk Khan kwenye movie yoyote lazima itakuwa nzuri balaa.........wahindi wako vizuri ila siyo kwenye action movie.Shahrukh Khan hana mpinzani.
Jamani huyu baba nampenda mnooo!
Wapi Sunil Shety?Sun Deo?
Mimi sio mfuatiliaji wa movie za kihindi sana.
Ukipata wasaa tuandalie list ya Wakorea mkuu...
Asante.
Mimi huku sio sana...haha sunil shetty wa kitambo sanaa...
habari ya mjini Ni salman na amir khan ambao wanaongoza Kw Blockbusters kule Bollywood
Movie yangu the best ni Maine Pyar Kiya....almaarufu kama ya njiwa.kuna bodyguard pia nayo ni tam pia.. yaani nikiweka orodha ya muvi za kihindi zitafika hata bugurudi duh
hiyo unayosema pia aliigiza huyohuyo..Hivi Kwich Kwich Hotae ando ameigiza huyu eeee.
Hiyo unayosema sijawahi kuiona, halafu ushaiona Alone?
Pacha 2, mmoja anamuua mwenzie?
Kaitafute
Kwich Kwich Hotae au Alone?hiyo unayosema pia aliigiza huyohuyo..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] action movies wahindi wamefeli aiseeeKama mie aisee napenda sana movie za kihindi siku hizi .....umkute Akshay Kumar, Salman Khan na Shahruk Khan kwenye movie yoyote lazima itakuwa nzuri balaa.........wahindi wako vizuri ila siyo kwenye action movie.
Nijibu post yangu ya juu....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] action movies wahindi wamefeli aiseee
Unakuta main character anauliwa kizembe hadi unashangaa.
Kwenye actions wavimba macho (Koreans,China,Wajapan)hawana wapinzani.
Hata Americans pia...
kwanza mlio wa ngumi, risasi mweee yani hata hazivutii..........ingawa kuna baadhi ni nzuri wamejitahidi sana.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] action movies wahindi wamefeli aiseee
Unakuta main character anauliwa kizembe hadi unashangaa.
Kwenye actions wavimba macho (Koreans,China,Wajapan)hawana wapinzani.
Hata Americans pia...
Hatya ni Govinda yuleNijibu post yangu ya juu....
Mithun Chakarabot kaigiza movie gani?Hatya ni Govinda yule
Kuna hii Veer yupo na Salman khan, Disco dancer, OMG, GolmaalMithun Chakarabot kaigiza movie gani?
Govinda km staring na Anupam kher km adui kuuKwich Kwich Hotae au Alone?
Mie ni 'empty bowl' kwenye movie za kihindi.
Hivi yule aliyeigiza Hatya ni Mithun Chakarabot au Govinda?
Wananichanganya sana hawa watoto
Sijaiona ngoja niitafute diz weekend niichekihahahh ndo hivyo mkuu, kuna nyingine inaitwa table no 21, umeiona hii?
Hamna vishwatma c aliigiza Sunny DeolHivi katika hiyo list, hakuna aliyecheza movie ya Vishwatma?
Priyanka na deepika soon wanaweza ingia kwny list maana naona wao sasa ivi washaingia (hollywood)Ni wanaume tu