Wasanii 10 wanaoongoza kwa pesa nchini India

Wasanii 10 wanaoongoza kwa pesa nchini India

Shahrukh Khan hana mpinzani.
Jamani huyu baba nampenda mnooo!
Wapi Sunil Shety?Sun Deo?
Mimi sio mfuatiliaji wa movie za kihindi sana.
Ukipata wasaa tuandalie list ya Wakorea mkuu...
Asante.
Kama mie aisee napenda sana movie za kihindi siku hizi .....umkute Akshay Kumar, Salman Khan na Shahruk Khan kwenye movie yoyote lazima itakuwa nzuri balaa.........wahindi wako vizuri ila siyo kwenye action movie.
 
haha sunil shetty wa kitambo sanaa...

habari ya mjini Ni salman na amir khan ambao wanaongoza Kw Blockbusters kule Bollywood
Mimi huku sio sana...
Twende Korea utakimbia mwenyewe [emoji12]
 
kuna bodyguard pia nayo ni tam pia.. yaani nikiweka orodha ya muvi za kihindi zitafika hata bugurudi duh
Movie yangu the best ni Maine Pyar Kiya....almaarufu kama ya njiwa.

Ila ule wimbo wa Mere Rang Mein Rangne.....mie huwa nikiutazama napata hisia za kungonoka.
hasa pale Bhagyashree anapovaa nguo za kuteleza unaona mpaka mstari wa trapeza na Salman anapomshika shika.
Raha sana
 
hiyo unayosema pia aliigiza huyohuyo..
Kwich Kwich Hotae au Alone?
Mie ni 'empty bowl' kwenye movie za kihindi.

Hivi yule aliyeigiza Hatya ni Mithun Chakarabot au Govinda?
Wananichanganya sana hawa watoto
 
Kama mie aisee napenda sana movie za kihindi siku hizi .....umkute Akshay Kumar, Salman Khan na Shahruk Khan kwenye movie yoyote lazima itakuwa nzuri balaa.........wahindi wako vizuri ila siyo kwenye action movie.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] action movies wahindi wamefeli aiseee
Unakuta main character anauliwa kizembe hadi unashangaa.
Kwenye actions wavimba macho (Koreans,China,Wajapan)hawana wapinzani.
Hata Americans pia...
 
Nijibu post yangu ya juu....
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] action movies wahindi wamefeli aiseee
Unakuta main character anauliwa kizembe hadi unashangaa.
Kwenye actions wavimba macho (Koreans,China,Wajapan)hawana wapinzani.
Hata Americans pia...
kwanza mlio wa ngumi, risasi mweee yani hata hazivutii..........ingawa kuna baadhi ni nzuri wamejitahidi sana.
 
Katika hii list namkubali Sana Aamir Khan akifuatiwa na sharukh basi wengine wanazingua.

Fiction nyingiiiiii.

Muvi za Aamir ni tamu balaaa.

Hapa Ikisikika jamaa ana anatengeneza movie wahindi usongo Wa kuiona unakuwa mkubwa sana tofauti na hao wengine.
 
Kwich Kwich Hotae au Alone?
Mie ni 'empty bowl' kwenye movie za kihindi.

Hivi yule aliyeigiza Hatya ni Mithun Chakarabot au Govinda?
Wananichanganya sana hawa watoto
Govinda km staring na Anupam kher km adui kuu
 
Aamir khan wa 3 idiots ni hatari sana...Ila Akshay namuelewa sana
 
kuna movie inaitwa Baabul.......kwenye hiyo movie Salmon Khan ame act kama ni mtoto wa Amitabh Bachchan.......hii movie ilinitoa machozi aiseeee..........
 
Back
Top Bottom