Kula mirungi Mkuu au HALUAKusaga gomba ndo nini mkuu!
OK poaIli nifanyie nini hizo comments, zero brain & lazy
Person kama wewe ndio mnaweza kutafta comments.
I am saying what is on my mind, sio lazima niwafurahishe mataahira wote humu.
Nadhani mleta mada haelewi kinachoimbwa na Youngkiller kwa mana hiyo akaona Msodoki aache kwa tunao mwelewa tunahitaji aendelee na aboreshe kazi yake.Hivi umeshasikiliza ngoma ya Young killer ft khaligraph jones..embu sema ni rapper gani hapa bongo kwa sasa anaweza kudondoka vile?..wamebaki wachache sana,young killer akiwa ni mmoja wapo.
Labda alitaka kusena Young Dee akateleza kaandika young killer.Kwa young killer msodoki umechemka