Wanamuziki wa kibongo fleva karibia ya wote hawajuwi kuimba ila hawa wafuatao wapigwe ban na BASATA as soon as possible kwani wanahaibisha fani ya muziki wa Tanzania:
1. Jux (huyu yanki ni bora angeachana kabisa na muziki, he's too fake na kuimba ziro kabisa....anafaa kuwa mwanamitindo tu)
2. Young Dee.....very fake na kuimba wala kurap hajuwi kabisa....ni mlazimishaji tu. Aache muziki akabugie unga.
3. Amber Lulu.....huyu ni bora akawa mcheza sinema za uchi tu, yaani hata sielewi kwanini alijiingiza kwenye muziki
4. Gigy Money....na haka nako wala sijuwi kwanini hata kalijiingiza kwenye muziki
5. Vanessa Mdee....anajitahidi ila analazimisha mno kumuiga Beyonce....angebakia tu kuwa a VJ
6. Jokate Mwegelo....nina haja ya kusema zaidi jamani, hata na nyie mnashindwa kuona kweli?
7. Chidi Benz....huyu alikosea tu kuja kwenye industry ya muziki, yuko very overrated for nothing
8. AY, anajiita Mze wa commercial ila hajuwi hata kurap
9. Roma Mkatoliki....niseme nini juu ya huyu jamaa, hajitambui na hajuwi hata kurap
0. Mr. Blue - bora asivyosikika...aachane kabisa na muziki, awe tu mwalimu wa madrassa
Nyongeza....wachezaji (mavideo Queen) wa kibongo fleva wote wapigwe ban maana hakuna hata mmoja anayejuwa kucheza kuendana na beats, they are so fake.