Wasanii ambao hawajui kuimba kabisa lakini bado wanalazimisha kuimba

Wasanii ambao hawajui kuimba kabisa lakini bado wanalazimisha kuimba

Ulipotaja B dozen badala ya Adam mchomvu nikahisi haujui chochote kuhusu mziki, ila nikaamua kuendelea kusoma!

Ila nilipokutana na jina la young killer kwenye list yako, nikagundua ufahamu mdogo ulionao kuhusu muziki!
Conclusion yako ni nini sasa, nina ufaham mdogo kuhusu mziki au sijui chochote kuhusu mziki? What is your point sir?

By the way, sio lazima nijue au nifanane na mtazamo wako. Siko hapa kuwafurahisha
 
Ebwana hasa HUYO LAVALAVA anaimba KAMA anakamuliwa JIPU,,,,YAANI ANAJIKAMUA SN kuliko HISIA ZENYEWE.... UTAKUTA nyimbo haina hisia YEYOTE yeye amekomaa kujikamua,,,,
 
Wanamuziki wa kibongo fleva karibia ya wote hawajuwi kuimba ila hawa wafuatao wapigwe ban na BASATA as soon as possible kwani wanahaibisha fani ya muziki wa Tanzania:
1. Jux (huyu yanki ni bora angeachana kabisa na muziki, he's too fake na kuimba ziro kabisa....anafaa kuwa mwanamitindo tu)
2. Young Dee.....very fake na kuimba wala kurap hajuwi kabisa....ni mlazimishaji tu. Aache muziki akabugie unga.
3. Amber Lulu.....huyu ni bora akawa mcheza sinema za uchi tu, yaani hata sielewi kwanini alijiingiza kwenye muziki
4. Gigy Money....na haka nako wala sijuwi kwanini hata kalijiingiza kwenye muziki
5. Vanessa Mdee....anajitahidi ila analazimisha mno kumuiga Beyonce....angebakia tu kuwa a VJ
6. Jokate Mwegelo....nina haja ya kusema zaidi jamani, hata na nyie mnashindwa kuona kweli?
7. Chidi Benz....huyu alikosea tu kuja kwenye industry ya muziki, yuko very overrated for nothing
8. AY, anajiita Mze wa commercial ila hajuwi hata kurap
9. Roma Mkatoliki....niseme nini juu ya huyu jamaa, hajitambui na hajuwi hata kurap
0. Mr. Blue - bora asivyosikika...aachane kabisa na muziki, awe tu mwalimu wa madrassa
Nyongeza....wachezaji (mavideo Queen) wa kibongo fleva wote wapigwe ban maana hakuna hata mmoja anayejuwa kucheza kuendana na beats, they are so fake.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom