Wasanii ambao hawajui kuimba kabisa lakini bado wanalazimisha kuimba

Wasanii ambao hawajui kuimba kabisa lakini bado wanalazimisha kuimba

Lava lava yupo vizuri banaaa tuacheni utani

Abdu kiba
Shilole
Snura

Hao hamna kitu kabisaaa
 
No.5 umemuonea hebu futa hiyo no.5 itakuharibia list
 
Katika hio listi mtoe country boy, najua huielewi style yake ila kwa aina ya muziki tuliobaki nao wa kuburudisha tu bila ujumbe anauweza.
 
Hivi hapo ni young killer yupi unaemzungumziaa.....dadavua vzuri we kiazi.......mana umeshanikwanza[emoji856]
 
Kumsaidia mtu ni kumwambia ukweli, haijlishi ataupenda au hataupenda ila siku zote ukweli huweka kila kitu huru (Hua napenda sana huu mstari wa Kikiristo wa Yohana 8:32- Utaijua kweli na hiyo kweli itakuweka huru).

Kuna wasanii hawajui kuimba na hawajui kama hawajui kuimba. Mbaya zaidi wanaowazunguka hawawaambii ukweli kua hawajui kuimba.

Hawa wasanii sijui hata wanaimba nini. Mfano Adam Mchomvu, anaimba kwaya, kaswida,vigodoro,mchiriku au kitu gani.

1. Adam Mchomvu.
2. Lavalava.
3. Maromboso.
4. Qeen Darlin.
5. Young killer.(Huyu ashauriwe aachane na mziki, baada ya kubahatisha gambe haitatokea tena kubahatisha).
6. Shilole Kiuno.
7. Snura.
8. Abdul Kiba.
9. Country boy.
10.

Hawa wasanii mlio karibu nao washaurini watafte kazi nyingine ya kufanya. Kazi zipo nyingi, sio kila mtu lazima awe muimbaji. Wengine tubakie tu kama wachezaji na wasikilizaji.

Narudi kuendelea kutoa updates.

Unaweza kuongezea msanii unaeona hajui kuimba lakini bado analazimisha fani.

Nyongeza ya mdau.
Na wewe toa nyimbo yako tuione na kuisikia..........!
 
Juma Jux-kubana pua na nyimbo yake "sintakiii"
Anabore sana
 
Chege. Jamaa analazimisha kweli kweli
Pole, hiki kijiba cha roho kitakumaliza. Kitoe.
===
Mimi namlaumu Chege na Saida kwa kutuletea KAITABA yenye flavor ya Rumba kwa mbali...halafu KAITABA yenyewe dakika 3.25. Hii haikubaliki kabisi. Mpini mkali namna ile unachezwa kwa dakika 3.25 !! Afanye juu chini afanye remix na aureefushe mpaka dk 7 ama nane. Hata hivyo ninawapa hongera wao na wasanii wengine kwa kuwezesha Watanzania kupenda utamaduni wao ikiwemo miziki. Ebu utazame 'KAITABA'
 
Ata hivyo hawajui kabsa ila wamepata fursa ya kua karibu na vyombo vya habari hicho ndicho nilicho wabeba, hata sauti zao ni mbaya za kukwaruza, pia hata tune watumiazo hazina mvuto wa kimashairi ni mbaya
 
Ata hivyo hawajui kabsa ila wamepata fursa ya kua karibu na vyombo vya habari hicho ndicho nilicho wabeba, hata sauti zao ni mbaya za kukwaruza, pia hata tune watumiazo hazina mvuto wa kimashairi ni mbaya
mashabiki wa waimbia puani utawajua!
 
Back
Top Bottom