Obugwa Izoba
JF-Expert Member
- Nov 16, 2013
- 10,033
- 10,622
Alikiba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upo kwa faida yako tu fuatilia muziki wa msanii budhagala na Diamond ndipo utanielewaKuna mziki wa international level? Wa wapi huo?
Eti international level!
[emoji38][emoji38][emoji38]wewe unaijua nyimbo gani ya B dozen???
Nakuunga mkonoKiukweli, Hemed huwa sielewagi kabisa anachoimba!In short hajui kuimba!!!!
Na wewe toa nyimbo yako tuione na kuisikia..........!Kumsaidia mtu ni kumwambia ukweli, haijlishi ataupenda au hataupenda ila siku zote ukweli huweka kila kitu huru (Hua napenda sana huu mstari wa Kikiristo wa Yohana 8:32- Utaijua kweli na hiyo kweli itakuweka huru).
Kuna wasanii hawajui kuimba na hawajui kama hawajui kuimba. Mbaya zaidi wanaowazunguka hawawaambii ukweli kua hawajui kuimba.
Hawa wasanii sijui hata wanaimba nini. Mfano Adam Mchomvu, anaimba kwaya, kaswida,vigodoro,mchiriku au kitu gani.
1. Adam Mchomvu.
2. Lavalava.
3. Maromboso.
4. Qeen Darlin.
5. Young killer.(Huyu ashauriwe aachane na mziki, baada ya kubahatisha gambe haitatokea tena kubahatisha).
6. Shilole Kiuno.
7. Snura.
8. Abdul Kiba.
9. Country boy.
10.
Hawa wasanii mlio karibu nao washaurini watafte kazi nyingine ya kufanya. Kazi zipo nyingi, sio kila mtu lazima awe muimbaji. Wengine tubakie tu kama wachezaji na wasikilizaji.
Narudi kuendelea kutoa updates.
Unaweza kuongezea msanii unaeona hajui kuimba lakini bado analazimisha fani.
Nyongeza ya mdau.
Pole, hiki kijiba cha roho kitakumaliza. Kitoe.Chege. Jamaa analazimisha kweli kweli
mashabiki wa waimbia puani utawajua!Ata hivyo hawajui kabsa ila wamepata fursa ya kua karibu na vyombo vya habari hicho ndicho nilicho wabeba, hata sauti zao ni mbaya za kukwaruza, pia hata tune watumiazo hazina mvuto wa kimashairi ni mbaya