Wasanii ambao mziki ulisababisha wapoteze majina yao ya asili

Wasanii ambao mziki ulisababisha wapoteze majina yao ya asili

haha
Kuna msanii mmoja anaitwa Hongera. Yeye ilo jina ndio alikua lake kabisa, nimelisahau jina lake la kisanii, ila kulikua na tamasha sasa mtu mmoja alienda jiandikisha kwa jina la Hongera. Ikafika zamu yake wanaita Hongera apande stejini hakuna mtu, jamaa akajiripua akapanda. Hafu akachana fresh tu.

Ana wimbo unaimba:

Mashabiki bwana "Shukaaa Shukaaa",
Ata sijaanza kuchana "Shukaaa Shukaaa"...
hahaha hii ngoma naipata ni kitambo kidogo..

mashabiki bwana.. shukaa shukaaa
ata sijaanza kuchana.. shukaaaa shukaa
siimbi bongo fleva.. shukaaa shukaaa
Aaaah sikushuki

jamani mashabiki.. shukaaa shukaaa
ata biti aijaanza.. shukaaa shukaaa
 
Back
Top Bottom