Wasanii ambao wapenzi wao hawajulikani

Geez maabovu ndio nani

Dah hata sijui ni kuambiaje maana nyimbo anazoimba ni ngumu alafu sio maarufu kiivyo aliimba wimbo kama mtoto wa kiume, Mimi aliowashirikisha jay mo, chid beenz na fid hizo alizitoa mwaka 2008/9 hv karibuni hana hata singo mpya
 
We unajua nyeti nyingi, Vipi Kidoti, Keisha, AY na Madam L.i.ta

Hahaaaa hamna hao ninao wajua coz mambo yao yako wazi.
Kidoti baada ya kuachana na Domo then akawa na Hashim Thabeet kwa sasa sijui.

Ay anademu wake alishawahi kuwekwa humu JF.

Madam Rita sijui kwakweli
 
Mkuu usikariri. Ally rehmtulah anaye girlfriend wake kabisa na usibishe kuhusu hili. Pia Ally huyo huyo ana boyfriend wake.




Mbona ueleweki mkuu yani ana galfriend then ana boyfriend nadhani umekula viroba yani wali maini awe na galfriend labda wa kuzugia tu
 

Wahuni wote hao. Dogo umekosa cha kuandika nini?
 
Hahaa na vile alivyo unaweza fikiri ana date na mtu mkubwaaaa kumbe dah mapenzi haya.

Yaan anapenda kuchukuliwa na wavuta bangi tu,si hata hyu Ngwea alipitaa,nasikia pia January anapiga mzigo !!!!!!
 
Yaan anapenda kuchukuliwa na wavuta bangi tu,si hata hyu Ngwea alipitaa,nasikia pia January anapiga mzigo !!!!!!

Sasa tatizo liko WAP kwani kuvuta Bangi kunahusiana nn name hisia labda ndo taste same na zinampiga mzigo fresh kama we unamind hao masharobaro fresh tu ila usiseme anachukuliwa na wavuta Bangi utadhani kuvuta Bangi ni ishu kuubwaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…