Wasanii ambao watakumbukwa hata kama muziki ukiwatupa mkono

Tatizo wakati mkuu kwa kipindi kile nyimbo za maana zilikuwa no muda sahihi kabisa kutokana na mahitaji ya wakati.
Ndo maana sasahivi Chura inahit kuliko wanandoto ya kala jeremayah.
Kizazi hiki hakihitaji nyimbo zenye tungo nzito kama zamani.
Ndo maana muziki ya Darasa inahit ikiwa imejamaa majigambo.
So ajabu jina langu ya prof jay au amekufa kwa ngoma ya mwana FA na jay Dee zingetoka Leo zisingehit kama hainaga ushemeji ya Man Fongo
 
 
Sugu hajafanya cha maana kwenye bongo flava, kwanza alikuwa analazimisha fani tu
Unakosea sana blaza, usingemsikia Mond leo bila sugu kufyt. Achana na hizo tuzo mkuu tunaangalia uwekezaji kwenye hii tasnia, huyu jamaa mh kafanya makubwa hapa Tz, ni no moja aisee. Ila nimegundua wengi hawajajua hx ya muziki wa bongoflav ndo maana unataka kumlinganisha sugu na mond otherwise ni watoto wa juzi juzi labda
 
Sio lazima uone legacy za wasanii wote. Hata Mwinyi kuna watu hawaoni legacy alioacha. Jk kuna watu wanasema hawaoni walichofanya. Lakini sisi wengine tunaziona. Baki na legacy zako.
Poa poa
 
Wasanii hawa ata ikitokea mziki ukawatupa mkono ila legacy yao itabaki milele kwenye bongo flava

1. Prof Jay
2. A.Y
3. Juma nature
4. Alikiba
5. Diamond
Afande Sele Jitu pori simba zeee
 
Mwambie huyo jamaa. Sugu na aheshimiwe na watu wote. Hakuna Msanii wa Bongoflava atakuja kufikia idadi ya Album alizotoa Sugu.
 
Kati ya hao kuna msanii yeyote mwenye tuzo nyingi kimataifa kama Mondi?
Tunzo za siku izi ni magumashi tu zimejaaa ulasimu na kujuana so kwa upande wng ubora wa msanii haupinwi kwa tuzo.....ndo maana Chris brown ni msanii mkali sana lkn tuzo hapati
 
Umezaliwa mwaka gani Mkuu?
Ukitaka kuamini kuwa sugu alikuwa analazimisha fani sikiliza nyimbo zake nyingi hazina maana...ni kujisifu na ujinga ujinga mwingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…