brave one
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 4,879
- 7,386
Tatizo wakati mkuu kwa kipindi kile nyimbo za maana zilikuwa no muda sahihi kabisa kutokana na mahitaji ya wakati.Mkuu sasaivi nyimbo hamna wanaziona nzuri kwavile hawajawai kuskiliza mi pini ya zamani long time watu walikuwa wanaumiza vichwa aiseee kuna pini moja ivii la fid q uyu na yulee ni nomaa,kuna jamaa alikuwa anaitwa zaharani,marehemu complex,maq d,mukundi ndousiseme university corner wazee wa tishet na Jens,big dog pots,wateule wakina jay moo,mchizi mox aisee watoto waskuizi hawaju tulipotoka
Ndo maana sasahivi Chura inahit kuliko wanandoto ya kala jeremayah.
Kizazi hiki hakihitaji nyimbo zenye tungo nzito kama zamani.
Ndo maana muziki ya Darasa inahit ikiwa imejamaa majigambo.
So ajabu jina langu ya prof jay au amekufa kwa ngoma ya mwana FA na jay Dee zingetoka Leo zisingehit kama hainaga ushemeji ya Man Fongo