Mond na kiba wanaingia kwa jide kwelNi kweli ingeanza na jide lakini sio kwenye list hyo iliyoshiba
Ukubwa wa pua cyo wingi wa kamasi....tafakariWewe Yaani hujamtaja shilole wewe buyu kabisa
Kwahiyo unahisi mwaka 2004 wa ally kiba na mwaka 97 wa Dully unafanana??Dully kwa mbaliiiiiiii sana huwezi mlinganisha na legacy ya alikiba..... Alikiba kaanza mziki 2004 uko lkn hadi leo wa moto so impact yake kwny game n kubwa huwezi linganisha na dully, uteam weka pembeni
Kwa revolution alizfanya mond na kiba jay dee haingii ata robo japo ni legend kwny mziki wetuMond na kiba wanaingia kwa jide kwel
Mtake radhi alikiba japo mm cyo fan wake...!!Kwahiyo unahisi mwaka 2004 wa ally kiba na mwaka 97 wa Dully unafanana??
Kuanzia Julietha mpaka Inde ya mwaka 2016 Dully anatoa hits kali.... Hivi kuna msanii gani Bongo mwenye hiyo concistency?
Kwa niaba ya mashabiki wa muziki wote nakuombea msamaha kwa kutowaheshimu mafather
Kuna watu wawili King crazy GK na pig black ndani ya orodhaWasanii hawa ata ikitokea mziki ukawatupa mkono ila legacy yao itabaki milele kwenye bongo flava
1. Prof Jay
2. A.Y
3. Juma nature
4. Alikiba
5. Diamond
DuuuhKuna watu wawili King crazy GK na pig black ndani ya orodha
Huyu sasa chiziOhooo!!!
Inaonekana unampenda sana jidee ila kumbuka mtu kuanza kuimba zamani haimaniish anamchango mkubwaMond na kiba wanaingia kwa jide kwel
Sawa mkuuKwa revolution alizfanya mond na kiba jay dee haingii ata robo japo ni legend kwny mziki wetu
Kaka umetoa bonge moja la point .....maana kuna watu wanalazimisha vitu ambavo mpk unashangaa mtu anang'ng'nia kabisa eti sugu nae kaacha impact kweny bongo flava yaani mpk nashangaa tuInaonekana unampenda sana jidee ila kumbuka mtu kuanza kuimba zamani haimaniish anamchango mkubwa
Unamuacha jide?....au ulikuwa unazungumzia wasanii wa kiume tu....Wasanii hawa ata ikitokea mziki ukawatupa mkono ila legacy yao itabaki milele kwenye bongo flava
1. Prof Jay
2. A.Y
3. Juma nature
4. Alikiba
5. Diamond
Chanzo kilikua apa kwa mimi navojua... Kuna kipindi flani kinarushwaga star tv cha muziki na mdada mmoja ivi jina nimelisahau...... Wakati uo ndo mond kashaanza kuwa juu sana na kiba yupo kimya, mtangazaj akamuuliza kiba" inaonekaka mond anakalia kiti chako, kiba akajibu "hakuna wa kukalia kiti changu labda kitakua na vumbi tu na nitakikung'uta nitakaa" ayo maojiano nayakumbuka had leo. . Mond nae akahojiwa siku moja akaonekana anaweza kukalia kiti cha kiba . Sasa bwana mashabiki sasa!!!! Ndo matimu yakanza kulumbana hadi ivi unavoona imefika apa. Na nilimsikia mond alisema siku moja hakuwai kulumbana na kiba hata mara moja ni mihemko ya mashabiki tu. OverNaomba kuuliza swali jamani mpaka leo sijawah elewa nini chanzo cha kuwapambanisha CHIBU na KIBA??
Usishangae sana, kila mtu ana jambo lake linalomvutia huwez jua yeye kaona nini kwa sugu ambacho wewe hukioni... Tukiwa na mawazo yanayofanana tutakua wajinga piaKaka umetoa bonge moja la point .....maana kuna watu wanalazimisha vitu ambavo mpk unashangaa mtu anang'ng'nia kabisa eti sugu nae kaacha impact kweny bongo flava yaani mpk nashangaa tu
Nimekuelewa sana mkuu...mana me sinaga timu ila mlumbano yanakuaga hayana hata LOGIC unakuta mtu akazna ooh MOND hamfikii KIBA au KIBA hamfikiii MOND me huwa najiuliza sana inamana skuiz mtu unashindanishwa na mtu ambaye hamko level moja mfano huwez skia YANGA hasimu wake MANCHESTER kwasababu ni level tofaut so kama mashabiki wanawashindanisha LAZIMA WAJUE WAMEKUBALI KUA MONDI NA KIBA wako on the same or nearly the same level inayoruhusu kushindanishwaa.Chanzo kilikua apa kwa mimi navojua... Kuna kipindi flani kinarushwaga star tv cha muziki na mdada mmoja ivi jina nimelisahau...... Wakati uo ndo mond kashaanza kuwa juu sana na kiba yupo kimya, mtangazaj akamuuliza kiba" inaonekaka mond anakalia kiti chako, kiba akajibu "hakuna wa kukalia kiti changu labda kitakua na vumbi tu na nitakikung'uta nitakaa" ayo maojiano nayakumbuka had leo. . Mond nae akahojiwa siku moja akaonekana anaweza kukalia kiti cha kiba . Sasa bwana mashabiki sasa!!!! Ndo matimu yakanza kulumbana hadi ivi unavoona imefika apa. Na nilimsikia mond alisema siku moja hakuwai kulumbana na kiba hata mara moja ni mihemko ya mashabiki tu. Over
Yap.. Umemalizia kwa mifano mizur kabisa hata mimi umenifundisha kitu....[emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106]Nimekuelewa sana mkuu...mana me sinaga timu ila mlumbano yanakuaga hayana hata LOGIC unakuta mtu akazna ooh MOND hamfikii KIBA au KIBA hamfikiii MOND me huwa najiuliza sana inamana skuiz mtu unashindanishwa na mtu ambaye hamko level moja mfano huwez skia YANGA hasimu wake MANCHESTER kwasababu ni level tofaut so kama mashabiki wanawashindanisha LAZIMA WAJUE WAMEKUBALI KUA MONDI NA KIBA wako on the same or nearly the same level inayoruhusu kushindanishwaa.