Wasanii ambao watakumbukwa hata kama muziki ukiwatupa mkono

Wasanii ambao watakumbukwa hata kama muziki ukiwatupa mkono

Dully kwa mbaliiiiiiii sana huwezi mlinganisha na legacy ya alikiba..... Alikiba kaanza mziki 2004 uko lkn hadi leo wa moto so impact yake kwny game n kubwa huwezi linganisha na dully, uteam weka pembeni
Kwahiyo unahisi mwaka 2004 wa ally kiba na mwaka 97 wa Dully unafanana??

Kuanzia Julietha mpaka Inde ya mwaka 2016 Dully anatoa hits kali.... Hivi kuna msanii gani Bongo mwenye hiyo concistency?

Kwa niaba ya mashabiki wa muziki wote nakuombea msamaha kwa kutowaheshimu mafather
 
Mtake radhi alikiba japo mm cyo fan wake...!!
 
Wasanii hawa ata ikitokea mziki ukawatupa mkono ila legacy yao itabaki milele kwenye bongo flava

1. Prof Jay
2. A.Y
3. Juma nature
4. Alikiba
5. Diamond
Kuna watu wawili King crazy GK na pig black ndani ya orodha
 
Ohooo!!!
898371f0a44796a942429abc51083c30.jpg
Huyu sasa chizi
 
Naomba kuuliza swali jamani mpaka leo sijawah elewa nini chanzo cha kuwapambanisha CHIBU na KIBA??
 
Inaonekana unampenda sana jidee ila kumbuka mtu kuanza kuimba zamani haimaniish anamchango mkubwa
Kaka umetoa bonge moja la point .....maana kuna watu wanalazimisha vitu ambavo mpk unashangaa mtu anang'ng'nia kabisa eti sugu nae kaacha impact kweny bongo flava yaani mpk nashangaa tu
 
Wasanii hawa ata ikitokea mziki ukawatupa mkono ila legacy yao itabaki milele kwenye bongo flava

1. Prof Jay
2. A.Y
3. Juma nature
4. Alikiba
5. Diamond
Unamuacha jide?....au ulikuwa unazungumzia wasanii wa kiume tu....
 
Naomba kuuliza swali jamani mpaka leo sijawah elewa nini chanzo cha kuwapambanisha CHIBU na KIBA??
Chanzo kilikua apa kwa mimi navojua... Kuna kipindi flani kinarushwaga star tv cha muziki na mdada mmoja ivi jina nimelisahau...... Wakati uo ndo mond kashaanza kuwa juu sana na kiba yupo kimya, mtangazaj akamuuliza kiba" inaonekaka mond anakalia kiti chako, kiba akajibu "hakuna wa kukalia kiti changu labda kitakua na vumbi tu na nitakikung'uta nitakaa" ayo maojiano nayakumbuka had leo. . Mond nae akahojiwa siku moja akaonekana anaweza kukalia kiti cha kiba . Sasa bwana mashabiki sasa!!!! Ndo matimu yakanza kulumbana hadi ivi unavoona imefika apa. Na nilimsikia mond alisema siku moja hakuwai kulumbana na kiba hata mara moja ni mihemko ya mashabiki tu. Over
 
Kaka umetoa bonge moja la point .....maana kuna watu wanalazimisha vitu ambavo mpk unashangaa mtu anang'ng'nia kabisa eti sugu nae kaacha impact kweny bongo flava yaani mpk nashangaa tu
Usishangae sana, kila mtu ana jambo lake linalomvutia huwez jua yeye kaona nini kwa sugu ambacho wewe hukioni... Tukiwa na mawazo yanayofanana tutakua wajinga pia
 
Chanzo kilikua apa kwa mimi navojua... Kuna kipindi flani kinarushwaga star tv cha muziki na mdada mmoja ivi jina nimelisahau...... Wakati uo ndo mond kashaanza kuwa juu sana na kiba yupo kimya, mtangazaj akamuuliza kiba" inaonekaka mond anakalia kiti chako, kiba akajibu "hakuna wa kukalia kiti changu labda kitakua na vumbi tu na nitakikung'uta nitakaa" ayo maojiano nayakumbuka had leo. . Mond nae akahojiwa siku moja akaonekana anaweza kukalia kiti cha kiba . Sasa bwana mashabiki sasa!!!! Ndo matimu yakanza kulumbana hadi ivi unavoona imefika apa. Na nilimsikia mond alisema siku moja hakuwai kulumbana na kiba hata mara moja ni mihemko ya mashabiki tu. Over
Nimekuelewa sana mkuu...mana me sinaga timu ila mlumbano yanakuaga hayana hata LOGIC unakuta mtu akazna ooh MOND hamfikii KIBA au KIBA hamfikiii MOND me huwa najiuliza sana inamana skuiz mtu unashindanishwa na mtu ambaye hamko level moja mfano huwez skia YANGA hasimu wake MANCHESTER kwasababu ni level tofaut so kama mashabiki wanawashindanisha LAZIMA WAJUE WAMEKUBALI KUA MONDI NA KIBA wako on the same or nearly the same level inayoruhusu kushindanishwaa.
 
1. Prof jay
watu wa mwanzo kuifanya bongo hip hop kuwa ya maana na kupendwa na watu wa aina zote mfano: wimbo wa zali la mentali

2.Ay
Mzee wa bongo commercials na huyu si kwa upande wa tz tu ni hadi Afrika mashariki nzima.. yeye ndo aliyetutangaza kwa kufanya muziki international.. kabla ya diamond hakuna aliyekuwa na nyimbo zinazonguushwa katika intermational tv stations kama trace

3.Ray c na Jay dee

Jay dee anasifika kuwa legendary wa kike ama "Bongo flava goddess " na hii ni stahiki yake kwa kukaa muda mrefu katika game na kuchukua tuzo za ndani na nje. Ana heshima kubwa tu

Ray c alikuwa ni mpinzani wake mkuu na japokuwa ameanguka lakini Ray c ndiye alieileta show biz bongo yaani life la kistar bongo kuanzia fashion hadi scandals na ndiye aliyejulikana kama "sexiest female artist in East Africa".
muziki wake ulikuwa na nguvu na uliwavutia mabinti wengi kuimba na kuonesha sexuality katika muziki.. hivyo ray c ameacha gap kubwa na hatosahaulika kirahisi na hata skendo za madawa ni plus kwake

4.dully sykes na Mb dog huwezi kuiongelea bongo flava ya kuimba bila dully sykes..
huwezi kuiongelea bongo flava ya nyimbo tamu za mapenzi iliopo sasa bila kumtaja mb dog... hivyo impact yao ni kubwa kwa muziki tulionao kwa sasa

5.Saida karoli
Ukiongelea muziki wa asili kwa kanda yetu ya Afrika mashariki bhasi huwezi kuacha kumuongelea.. ni mkongwe aliyepo hai.aliitangaza Tanzania vyema hasa katika tuzo za nje kama kora awards

6.Diamond ni mkubwa kuanzia Tz, Afrika mashariki na Afrika kwa ujumla.. aliikuta bongo flava katika hali nzuri lakini yeye ndiye aliyeiongezea thamani kwa video kali na kupandisha thamani ya muziki wetu kwa malipo na tuzo za kimataifa..
Ndiye msanii kutoka afrika mashariki ambaye unaweza kumuita star wa Afrika

7.Vanessa mdee
Huyu bado impact yake haijaonekana kutoka na muziki wa team uliopo lakini kwa upande wa kikeni hakuna aliyewahi kufanikiwa kimataifa kama yeye ... naamini muda utaongea

Over
 
Nimekuelewa sana mkuu...mana me sinaga timu ila mlumbano yanakuaga hayana hata LOGIC unakuta mtu akazna ooh MOND hamfikii KIBA au KIBA hamfikiii MOND me huwa najiuliza sana inamana skuiz mtu unashindanishwa na mtu ambaye hamko level moja mfano huwez skia YANGA hasimu wake MANCHESTER kwasababu ni level tofaut so kama mashabiki wanawashindanisha LAZIMA WAJUE WAMEKUBALI KUA MONDI NA KIBA wako on the same or nearly the same level inayoruhusu kushindanishwaa.
Yap.. Umemalizia kwa mifano mizur kabisa hata mimi umenifundisha kitu....[emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106]
 
Back
Top Bottom