Wasanii Bongo Fleva na ajenda za ushoga

Huo upinde kwa jina la rainbow ni alama ya kusapoti u gay na transgender..hata kwenye ligi ya soka ya uingereza kitambaa cha kaptain sharti kiwe na rangi hizo ili kuonesha wako pamoja na wanasapoti watu wa aina hiyo.
Nimeuliza ule unaotokea angani???
 
Hakika kabisaaaa.
 
niliona pia kwa Sarafina katika ukurasa wale wa Instagram amepost clip ya challenge ya wimbo wake mpya. Yule aliecheza ile challenge ni wa kuhurumiwa na pia sijajua mpaka sasa lengo la Sara lilikuwa hilihili la Mbosso au namna gani?
 
Ukiishaamua kuwa moto kuwa moto moja kwa moja, halikadhalika pia ukiwa baridi kuwa baridi moja kwa moja...kuna vitu vingi vinafanywa na wasanii wetu ila vinaonekana vya kawaida ilihali baadaye vinakuja kuzaa au kuleta mambo ya ajabu kabisa.
 
Sasa mkuu, mfano mimi huu uzi wako ndo umenijulisha hizo rangi ndo wanatumia hao watu.

Anawezaje kutangaza ajenda yao kwa watu ambao hatufahamu? Yaani mtu avae marangi halafu imfanye mtoto aliye darasa la 2 ajue huo ni ushoga?how? Kuna mdau amesisitiza kulea watoto vizuri na wajue good and bad kuhusu wao. Curiosity yako kwenye hayo mambo ni kubwa sana.
 
Labda siku hizi, hiyo mimi niliipiga form 4 VIBGYOR (Violet, Indigo, Blue, Green,Yellow, Orange and Red).
Topic ipo fom3 huenda mwalimu wenu aliamua tu awafundishe mkiwa fom4 ni sub topic ngumu kimtindo
 
Topic ipo fom3 huenda mwalimu wenu aliamua tu awafundishe mkiwa fom4 ni sub topic ngumu kimtindo
Nenda Tanganyika Library vitabu vipo, mimi nilimaliza form 2005,sijui wewe ila ni topic ya form 4,zikiungana pamoja na Modern Physics, Electromagnetism (Magnetic effect of an electronic current na Magnetic Inductions) na Wave.

Kama unabisha tukutane sehemu, tunaenda Tanganyika ,kabla ya kuingia Library tunaweka dau hata la ten ten,tunaingia mule.

Sitaki nifunguke sana ila najua ninacho kiongea 100% na tena nipo vizuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…